PreGE2025 Silaha hii wanaitumia CCM dhidi ya upinzani na imewapa ushindi 1995, 2000, 2005, 2010, 2015, 2020 na mwaka huu 2025 wanakwenda kuitumia tena

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa upande wa urais, uchaguzi uliishamalizika pale Dodoma ile January, kinachoendelea sasa ni mchakato wa kutimiza tuu kukamilisha taratibu na kusubiria siku ya siku tarehe ifike, mtu ni unakwenda tuu kituoni, kwa ajili ya
“unachukua...
unaweka...
....“
Malizia mwenyewe!
P
Haaaaaaaaaaaa,hapo sawa.
 
Class struggle itaamua, ccm hawez tawala milele, ogopa sana class struggle, mifumo mingi ya unyonyaj imeangushwa na class struggle, wanyonge wakishasema sasa inatosha, moto utawaka tu..!
Hiyo ya kusema sasa basi sio leo labda ikifika mwaka 2075!

Kwasasa shida kubwa ni kuwa watu wengi wanachukua tu vitambulisho vya kura viwasaidie kwa kazi zingine na hawapigi kura kabisa kwa kufikiri washindi tayari wako mezani .

Baada ya wahuni wote wa uchaguzi wa goli la mkono kwenda mavumbini labda miaka 50 tu ijayo Allahu Aalam basi vitakuja vizazi vingine na kubadili fikra, hao watapiga kura na kuamua mshindi kwa haki.
 
Sikumbuki tarehe ila ilikuwa kati ya mwezi wia 9 au wa 10 hivi 1995 nikiwa na miaka 8 hivi kwenye kitongoji chetu walikuja watu waliovaa nguo za kijani na njano wakitokea wilayani kuja kutuwekea muziki na kisha baadaye kuanza kuongea.
Wale watu nilikuja kuwakumbuka baadaye kidogo nilipokuwa . Ni viongozi wa CCM wilaya kwa ngazi tofauti.
Mama mmoja ambaye yuko hai mpaka sasa mweupe alipopewa mike kuongea alijifanya kuongea kwa uchungu sana kuwa watu wasipochagua CCM ikitokea vita watakaoteseka zaidi ni akina mama, watoto na wazee.
Hii silaha nimeona ikitumika kwenye kila kampeni.
Na upinzani umeshindwa kujibu ingawa majibu yake yalipaswa kuwa mepesi kabisa.
CCM ifike wakati muwahurumie wananchi.
We bwege umeandika nn
 
Class struggle itaamua, ccm hawez tawala milele, ogopa sana class struggle, mifumo mingi ya unyonyaj imeangushwa na class struggle, wanyonge wakishasema sasa inatosha, moto utawaka tu..!
Hii ndio factor ambayo chakandumuz hawaielewi

Not politics but class struggle…. Not campaigning but actual individual and social pressure

And this struggle will split ccm into a few pieces unless wajitahidi sana kuiptevent… Nyerere laid a very strong foundation on this

But sio 2025….. it is still early, but not too early

2030 patachimbika sana
 
It's pathetic what hunger can do to one's mind but it is even more pathetic that this comment is coming from you.
Kosa langu sikuzote humu jf ni kuusema ukweli mchungu ambao watu hampendi kuusikia. Uchaguzi wa rais, uliishamalizika!. Mgombea wa CCM wa urais akiisha teuliwa.na CCM, huyo ndie rais wetu, uchaguzi wa rais unakuwa umemalizika.

Hili jambo nimelizungumza mara nyingi tuu humu.

Kama wewe unasubiri October ndio umchague rais, endelea kusubiria, rais tayari tunaye, October ni kukamilisha tuu taratibu za kumthibitisha. Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!

November 2015 niliuliza Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

P
 
Mimi sio chawa, mimi ni mtu mkweli daima kuusema ukweli daima.

Mzee mzima unakuwa chawa, ni aibu. Hivi akili yako ulimwuuzia nani?
Mimi sio chawa na sijawahi kuwa chawa
Kosa langu sikuzote humu jf ni kuusema ukweli mchungu ambao watu hampendi kuusikia. Uchaguzi wa rais, uliishamalizika!. Mgombea wa CCM wa urais akiisha teuliwa.na CCM, huyo ndie rais wetu, uchaguzi wa rais unakuwa umemalizika.

Hili jambo nimelizungumza mara nyingi tuu humu.

Kama wewe unasubiri October ndio umchague rais, endelea kusubiria, rais tayari tunaye, October ni kukamilisha tuu taratibu za kumthibitisha. Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!

November 2015 niliuliza Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

P
 
Kwa upande wa urais, uchaguzi uliishamalizika pale Dodoma ile January, kinachoendelea sasa ni mchakato wa kutimiza tuu kukamilisha taratibu na kusubiria siku ya siku tarehe ifike, mtu ni unakwenda tuu kituoni, kwa ajili ya
“unachukua...
unaweka...
....“
Malizia mwenyewe!
P
Mi naamini Mungu atafanya yake hadi watubu tu. Hakuna atayetawala 10 tena
 
Huku kwetu Mongolandege, Ukonga, mabalozi wa CCM wanaorodhesha watu na namba zao za kadi kupigia kura, pamoja na namba za simu. Wanasema wametumwa na Mbunge Slaa
 
Siyo urais tu Ubunge na udiwani hakuna chama chochote kwa mazingira haya unaweza kuishinda CCM hata kwa 1% tu ya kura. Na tumeona serikali za mitaa na sasa madiwani, wabunge na uraisi.
Huu ndio ukweli wenyewe.
P
 
Back
Top Bottom