Tetesi: Silaha toka UAE na Mercenaries wa kigeni wanaletwa na Uganda Airlines

Tetesi: Silaha toka UAE na Mercenaries wa kigeni wanaletwa na Uganda Airlines

Nyasi-Man

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2023
Posts
1,003
Reaction score
2,236
Sote tunafahamu Samia ameingia mikataba mingi sana ya kikoloni na hawa UAE na nchi zingine za Kiarabu kama bandari, Airport, Carbon 14 etc, sasa kuna juhudi kubwa zinafanyika kuhakikisha huyu muovu analindwa kwa gharama yeyote pasipo kujali athari za nchi na mauaji ya raia.
Hivyo waarabu hawa wanatumia nchi ya Uganda kuleta silaha na kukodi mercenaries toka nchi mbalimbali ili kuhakikisha deal zao haziharibiki. Sasa flight radar inaonesha movement nyingi ya ndege za shirika la Uganda kuja uwanja wa ndege wa Mwl. Nyerere kwa kazi maalumu.
IMG-20251031-WA0104.jpg

My take:
Kwa hali hii JWTZ inabidi mfuatilie mienendo hapo uwanjani maana nchi ipo kwenye hatari kubwa sana na ikiwezekana mtangaze hali ya hatari nchini kote ikifuatiwa na kuwaweka chini ya ulinzi mkali Kikwete na nduguye Samia baadae mtangaze kuchukua nchi.
Hali hii ikiendelea nchi hii inaenda kuzama huku tukijionea wenyewe.
 
Jeshi litangaze hali ya hatari. Hali ya hatari ndani ya jeshi ilianza walipo waruhusu wanajeshi kutoka uganda kuingia Tanzania.Jeshi limegawanyika tayari kuna wajeshi wa nchi nyingine ndani ya Tanzania.Na kulikuwa na tetesi kuna watu wasio na sare za jeshi wanawaua wananchi waliopo majumbani, sijui kama hilo ni kweli.Hiyo ni hatari kubwa ulinzi wa nchi umekuwa compromised.Jeshi mna muda mdogo sana kufanya maamuzi. Maadui zenu wanatumia muda huu kustrategize.
 
Bila shaka, hakuna kupoteza mda, hata Arusha huko ndege toka UAE zinaingia na kutoka.
IMG-20251031-WA0110.jpg
 
Wafuatilie au wachukue nchi haraka na kufunga mipaka yote?

Kuiokoa hii nchi haraka inabidi Jeshi lichukue nchi, liingie mitaani, liwaondoe polisi wote na kufunga mipaka yote.

Sielewi wanachelewa nini?
 
Wafuatilie au wachukue nchi haraka na kufunga mipaka yote?

Kuiokoa hii nchi haraka inabidi Jeshi lichukue nchi, liingie mitaani, liwaondoe polisi wote na kufunga mipaka yote.

Sielewi wanachelewa nini?
Washachelewa sabu hii ilitakuwa wafanye mapema, now hawa mercenaries washaji changanya na raia maeneo mengi... Jeshi letu lina ka uzembe sana mpaka kua compromised kiasi hiki it's too dangerous..
 
UAE , Qatar wafadhili wa vita Sudan, Somalia, Yemen

DP World vipande vya ardhi walivyopewa ambapo kupo bandari, ushoroba wa SGR n.k waliopewa na utawala wa Samia wapo tayari kuitumbukiza nchi katika janga kubwa.
 
Wachukue nchi haraka sana.No time.We are in danger!!Sababu kubwa ya Samia kukaa kimya nikwa sababu anastrategize.Kuna nchi ziliahidiwa contracts za mineral resources za Tanzania kama angeshinda.Hao ndio maadui zetu right now.Hao ndio wanaomsaidia Samia
Bila shaka, hakuna kupoteza mda, hata Arusha huko ndege toka UAE zinaingia na kutoka.
View attachment 3496349
 
Kwa Mazingira ya Tanzania hawatafanya kitu. Wanaenda Uganda. Incase Jeshi liragawanyika, watapigana kusaidia Jeshi linalomtaka Samia dhidi ya jeshi linalounga mkono Wananchi. Kwa sasa wataishia hapo Uganda tu.. Yaani Wanaletwa kama plan B
 
Washachelewa sabu hii ilitakuwa wafanye mapema, now hawa mercenaries washaji changanya na raia maeneo mengi... Jeshi letu lina ka uzembe sana mpaka kua compromised kiasi hiki it's too dangerous..
Hapana, wanadai wanakuja kulinda Masirahi yao yaliyopo Tanzania. Mfano Dp world, Mgogoro, KIA nk.
 
Wafuatilie au wachukue nchi haraka na kufunga mipaka yote?

Kuiokoa hii nchi haraka inabidi Jeshi lichukue nchi, liingie mitaani, liwaondoe polisi wote na kufunga mipaka yote.

Sielewi wanachelewa nini?
Hawa wanajeshi wetu sijui nao ni utii uliopitiliza sijui...Dunia imeshajua kinachoendelea Tanzania.Wakichukua nchi hakutakua na kelele kimataifa maana Samia ameshavuka mstari mwekundu.
 
Back
Top Bottom