Bila shaka, hakuna kupoteza mda, hata Arusha huko ndege toka UAE zinaingia na kutoka.Jeshi litangaze hali ya hatari. Hali ya hatari ndani ya jeshi ilianza walipo waruhusu wanajeshi kutoka uganda kuingia Tanzania.Jeshi limegawanyika tayari kuna wajeshi wa nchi nyingine ndani ya Tanzania.Na kulikuwa na tetesi kuna watu wasio na sare za jeshi wanawaua wananchi waliopo majumbani, sijui kama hilo ni kweli.Hiyo ni hatari kubwa ulinzi wa nchi umekuwa compromised.Jeshi mna muda mdogo sana kufanya maamuzi. Maadui zenu wanatumia muda huu kustrategize.
Washachelewa sabu hii ilitakuwa wafanye mapema, now hawa mercenaries washaji changanya na raia maeneo mengi... Jeshi letu lina ka uzembe sana mpaka kua compromised kiasi hiki it's too dangerous..Wafuatilie au wachukue nchi haraka na kufunga mipaka yote?
Kuiokoa hii nchi haraka inabidi Jeshi lichukue nchi, liingie mitaani, liwaondoe polisi wote na kufunga mipaka yote.
Sielewi wanachelewa nini?
Bila shaka, hakuna kupoteza mda, hata Arusha huko ndege toka UAE zinaingia na kutoka.
View attachment 3496349
Hapana, wanadai wanakuja kulinda Masirahi yao yaliyopo Tanzania. Mfano Dp world, Mgogoro, KIA nk.Washachelewa sabu hii ilitakuwa wafanye mapema, now hawa mercenaries washaji changanya na raia maeneo mengi... Jeshi letu lina ka uzembe sana mpaka kua compromised kiasi hiki it's too dangerous..
Hawa wanajeshi wetu sijui nao ni utii uliopitiliza sijui...Dunia imeshajua kinachoendelea Tanzania.Wakichukua nchi hakutakua na kelele kimataifa maana Samia ameshavuka mstari mwekundu.Wafuatilie au wachukue nchi haraka na kufunga mipaka yote?
Kuiokoa hii nchi haraka inabidi Jeshi lichukue nchi, liingie mitaani, liwaondoe polisi wote na kufunga mipaka yote.
Sielewi wanachelewa nini?