Silaha ya Masikini ni Unafiki

Mimi nilisha jiapiza kukiwa na viongozi wawili wanagombania nafasi moja
Mmoja awe Masikini na Mwingine Tajiri( hata kama hana elimu kubwa)
Nitamchagua Tajiri!!!! Nimejifunza kitu kikubwa sana wakati wa mwandazake
 
Masikini siku zote humchukia tajiri akiamini umasikini wake unasababishwa na tajiri!

Pia masikini humuona tajiri na mtu mwenye mfanikio kumzidi kama ana ringa, anajiona na ana dharau

Masikini hufurahia sana akiona tajiri amepata tatizo au ameanguka au kukosa kitu flani

Masikini hujihisi mnyonge sana kwa tajiri na hivyo siraha yake huwa ni chuki na roho mbaya!

Masikini akifeli huhisi labda ni kwasababu yeye ni masikini

Umasikini, wivu, uchawi, ujinga na roho mbaya vinaenda sambamba/ni ndugu wa mama mmoja.

Rejea tuzo za BET na Mondi
 
Ogopa sana umaskini!
 
Kwani diamond angeshinda hiyo ingethibitisha nape amesababisha kupata tuzo kwasababu ya uhodari wake wa goli la mkono?
 
Roho mbaya ya kumkataa hadi baba yako mzazi hapo hujaiweka
 
Hakika umeeleweka ahsante sana kwa thread nzuri, kwa maana mimi sio mnafiki wa kushukuru.
 
Mimi nilisha jiapiza kukiwa na viongozi wawili wanagombania nafasi moja
Mmoja awe Masikini na Mwingine Tajiri( hata kama hana elimu kubwa)
Nitamchagua Tajiri!!!! Nimejifunza kitu kikubwa sana wakati wa mwandazake

Masikini hayupo real
 
Hakika umeeleweka ahsante sana kwa thread nzuri, kwa maana mimi sio mnafiki wa kushukuru.

Karibu Sana Mkuu

Masikini pia hutaka vitu hata Kama sio Halali Yao
 
Daaah sasa je kama nataka kubadilika niache kuwa na roho mbaya na chuki nifanyeje maana Utajiri wenyewe kuufikia mda mwengine lazima udeal na maskini wenzako ...........
 
Daaah sasa je kama nataka kubadilika niache kuwa na roho mbaya na chuki nifanyeje maana Utajiri wenyewe kuufikia mda mwengine lazima udeal na maskini wenzako ...........

Unaniona ushauri masikini ili uniite Motivesheni Speaker๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Umeandika vema. Jamii yetu kubwa imejawa na unafiki na kumbe unasababishwa na hali zetu kiuchumi(umaskini).
 
Watakuita Motiveshen speaker
Yaah japo kinadharia hii ingewekwa kwa mfano wa masomo ingesaidia hasa taifa la kesho na siyo sasa, waafrika inabidi kuangalia mtazamo chanya hata kama tunapita kwenye magumutujifunze kuwa na Imani na Tumaini la Kesho sasa utashangaa chuki dharau zisizo na mwelekeo vijembe nk
halafu binadamu wote tupo sawa tatizo sisi waafrika tunaupenda Uvivu na habari za kuambiwa amabpo wazungu wanajitahidi kuukwepa uvivu at any cost na mambo yakuambiwa hawayapi kipaumbele sana hasa kwenye kazi zao Mfano........
Vasco Dagama wakati anazunguka bahari katika mabara angekuwa anasikiliza vijembe na Ushauri wa watu ingechuku muda sana kufanya utafiti na Ugunduzi wake pia angeleta habari za Uvivu ni dhahiri asingefanikisha tarajio lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ