Umezuiwa fanya propaganda?Propaganda hizo, fuatilia hao kama wana habari postive hata moja kuhusu Russia
Mkuu ni gazeti la uhindini, kufuatilia unaweza mwenyewe. Unavyojua Uhindi wamenunua silaha nyingi za Kirusi (sijui kama bado wanapenda?) pia wamekataa kukemea Urusi kwa kuanzisha vita. Kuna dalili yoyote kwamba taarifa si kweli?Propaganda hizo, fuatilia hao kama wana habari postive hata moja kuhusu Russia
Mkuu siyo hata Bakhmut ni mji mdogo sana? Tusipuuze vitu vidogo. Angalau Urusi inajitahidi tangu miezi kukamata mji ule mdogo . .Ushuzi tu!!! sisi tunajadili namna ya kuiteka bhakmut na sio vitu vidogodogo hivi.....
Kila siku Huwa namsema hakuna Cha s 500 Wala Patriots nk vinaweza zuia makombora hizo Huwa ni fix tuuUshahidi wa kwanza wa kuangamizwa kwa silaha ya mfumo wa kinga ya anga ya Urusi maarufu kama (S-400 Air Defence System) umepatikana.
Hii ni mara ya kwanza kwa Ukraine kutoa ushahidi wa wazi kuthibitisha madai yao ya kuiangamiza silaha hiyo ya kisasa ya Russia.
1st Evidence Of Russia’s S-400 ‘Triumf’ Defense System ‘Destroyed’ In Ukraine War Surfaces On Social Media
Ukraine War: Russia lost a launcher from its mighty air defense system, the S-400 ‘Triumf’ in the east Ukrainian region of Zaporizhzhia.eurasiantimes.com