Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,736
Kama mnavyojua wadau kuwa majizi na majambazi ya mali yakiku face huwa hayanaga huruma yanachukua mali na uhai wako.
Sasa ili usiende kizembe angalau kuwa na hata silaha ya kukabiliana nayo ili chaguo liwe moja kati yenu wewe au yeye mmoja kati yenu kuacha roho sio wewe pekee kuwa mnyonge.
Katika kupambana na majizi na majambazi ya mali wengine humiliki silaha mbalimbali za kujilinda dhidi yao kutegemea na kipato cha mtu.
Kuona hivyo nimejiwekea kautaratibu kakumiliki vifaa kadhaa ambavyo angalau vitanisadia kunilinda dhidi ya hawa wehu ili siku akijikanyanga kwangu hapo ni mimi au yeye mmoja wetu kuangusha roho au kubaki na majeraha ya maisha.
Kama huna uwezo wa kumiliki bunduki kama mimi angalau jilinde dhidi ya hawa majizi na majambazi kwa hivi vifaa baadhi ili siku akijipendekeza kwako lazima afurahie.