Silaha za kujilinda dhidi ya majizi na jambazi ya mali

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Kama mnavyojua wadau kuwa majizi na majambazi ya mali yakiku face huwa hayanaga huruma yanachukua mali na uhai wako.

Sasa ili usiende kizembe angalau kuwa na hata silaha ya kukabiliana nayo ili chaguo liwe moja kati yenu wewe au yeye mmoja kati yenu kuacha roho sio wewe pekee kuwa mnyonge.

Katika kupambana na majizi na majambazi ya mali wengine humiliki silaha mbalimbali za kujilinda dhidi yao kutegemea na kipato cha mtu.

Kuona hivyo nimejiwekea kautaratibu kakumiliki vifaa kadhaa ambavyo angalau vitanisadia kunilinda dhidi ya hawa wehu ili siku akijikanyanga kwangu hapo ni mimi au yeye mmoja wetu kuangusha roho au kubaki na majeraha ya maisha.

Kama huna uwezo wa kumiliki bunduki kama mimi angalau jilinde dhidi ya hawa majizi na majambazi kwa hivi vifaa baadhi ili siku akijipendekeza kwako lazima afurahie.
 
Wakombozi uchwara wa nchi wanaoikomboa kwa kuvunja maduka ya watu na kuiba mali za watu mimi dawa yao ninayo ila nilikua sitembei nayo , nasubiri mali walizoiba na zikawanogea ziishe waitishe maandamano yao ya vibaka waibe tena ila wajiandae kukutana na Glock 19.

Safari hii Nitawasaidia polisi kuwatanguliza akhera hao vibaka
 
Watu wamepambana na SMG wewe unazungumzia Glock?
 
Hata US au UK katika madamano lazima na riots kama looting, uharibifu mali za ummah, ni sehemu ya mbinu kulazimisha serikali isililize matakua ya wananchi, labda wewe uwe mshamba wa siasa ndo ushangae hayo ilio fanywa na watanzania.
 
Hata US au UK katika madamano lazima na riots kama looting, uharibifu mali za ummah, ni sehemu ya mbinu kulazimisha serikali isililize matakua ya wananchi, labda wewe uwe mshamba wa siasa ndo ushangae hayo ilio fanywa na watanzania.
Usishangae na kifo pia.
 
Kuwa na silaha ya kujilinda kitu kimoja matumizi yake sahihi hilo jambo lingine tena. hapa tutaweza peana mbinu kadhaa za kujilinda na kushambulia jizi na jambazi la mali linalotaka kukusahambulia mwenye mali.
 
Ipi mbinu sahihi ya matumizi ya panga,sime,visu kushambulia na kujilinda ?
 
pole sana billnass, bado una machungu na iphone zako, watz wamepita nazo😁
 
Inabidi kuwasiliana na M23 ili kupata vilipuzi vidogo vya kurusha kwa mikono kwaajili ya kujilinda. Silaha za asili za kuweza kusaidia ni mishale tu. Ukiwa na vilipuzi vya kurusha kwa mikono, unaandamana kwa amani, halafu hayo mamluki ya kutoka Zenji yakawasogelea na SMG, ni kuyarushia mishale na hivyo vilipuzi kabla hayajawafikia. Hapo ujue unapambania kulinda haki na uhai wako na watanzania wenzako ambao watawala wameamua kuwachinja kama kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…