Silaha za magendo kutoka Iran kwenda kwa Hezbollah zakamatwa huko Homs,Syria

Silaha za magendo kutoka Iran kwenda kwa Hezbollah zakamatwa huko Homs,Syria

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Vyanzo vya habari kutokea Syria na Lebanon: Utawala wa Syria ulitibua jaribio la jana katika eneo la Homs la kusafirisha shehena ya roketi zilizotengenezwa na Iran hadi katika ardhi ya Lebanon. Ikumbukwe kuwa utawala mpya wa Syria unapinga kabisa nchi hiyo kuwa njia ya kusafirisha silaha kwenda Israel kitu ambacho kitaifanya nchi hiyo iingie kwenye uhasama na Israel hivyo kuhatarisha Usalama wa Syria.

IMG_3197.jpeg
 
Hawa Iran wao pesa za kutengeneza hizi silaha wanatoa wapi?

Wanagawa kila kona Houthi, Heziboula, HAMAS, Al Qaeda, al shabab, Boko Haram na wengine Syria sijui ISIS na makundi mengine.

Silaha gharama lakini inaonekana Iran wao Silaha ni nyingi kuliko hata tende.

Wao pesa hutoa wapi?!
 
Syria IPO na wazungu sikuhizi ni ngumu Sana Kwa Iran kupitisha UJINGA wake Hilo ni pigo Kwa Iran
 
Hakuna lolote hizo ni propoganda za huyo kibaraka wa western huko Syria. Anatafuta njia ya kujipendekeza bada ya kuona kuna watu walio pigana naye kumuondoa Assad wameanza kumgeuka.
 
Vyanzo vya habari kutokea Syria na Lebanon: Utawala wa Syria ulitibua jaribio la jana katika eneo la Homs la kusafirisha shehena ya roketi zilizotengenezwa na Iran hadi katika ardhi ya Lebanon. Ikumbukwe kuwa utawala mpya wa Syria unapinga kabisa nchi hiyo kuwa njia ya kusafirisha silaha kwenda Israel kitu ambacho kitaifanya nchi hiyo iingie kwenye uhasama na Israel hivyo kuhatarisha Usalama wa Syria.

Sawa Zumaridi
 
Hawa Iran wao pesa za kutengeneza hizi silaha wanatoa wapi?

Wanagawa kila kona Houthi, Heziboula, HAMAS, Al Qaeda, al shabab, Boko Haram na wengine Syria sijui ISIS na makundi mengine.

Silaha gharama lakini inaonekana Iran wao Silaha ni nyingi kuliko hata tende.

Wao pesa hutoa wapi?!
Kwenye somo la uchumi, kuna kitu wanaita "opportunity costs" yaani unakua una pesa say laki 1, halafu matumizi yako yanazidi hiyo laki, ili usikope then una sacrifice baadhi ya mambo, mfano labda ulikua na uhitaji wa kununua nguo au labda bando la internet nk unavipiga chini; ndicho kinacho fanyika. Is like hapa kwetu, tunaweza ku sacrifice mambo ya msingi lakini mishahara na marupu rupu ya wana siasa lazima bajeti yake isiguswe, magari ya anasa kwa ajili yao nk; same as Iran. Now to answer your question, Iran ana mafuta, tena mengi tu, ana viwanda as well na kwa msaada aliompa Russia hope kauza sana silaha zake, so anaweza ku sacrifice bajeti ya elimu, afya nk akawekeza huko kwenye security, na hizi ni moja kati ya tabia za kipuuzi sana za nchi za kikominist like North Korea, Russia, Cuba even China before it picked
 
Hawa Iran wao pesa za kutengeneza hizi silaha wanatoa wapi?

Wanagawa kila kona Houthi, Heziboula, HAMAS, Al Qaeda, al shabab, Boko Haram na wengine Syria sijui ISIS na makundi mengine.

Silaha gharama lakini inaonekana Iran wao Silaha ni nyingi kuliko hata tende.

Wao pesa hutoa wapi?!
Swali zuri sana hili kwakweli ufadhili wao umekuwa mkubwa sana. na hivi vita vinawanufaisha nini hasa kimaslahi? watu wengi wasio kuwa na hatia na maslahi navyo wanaumia na kuwa vilema wa maisha na kufariki. Mungu atuhurumie wanadamu tunatengeneza sialaha kubwa na kali kwa maslahi binafsi na kutoa uhai wa mwanadamu mwingine bila hatia.
 
Sijui Iran wanawashwawashwa na nini? Kwanini wasiachana na hizi habari za kuwasaidia majirani wa Israel Silaha
 
Back
Top Bottom