Silaha za Masafa Marefu Zinazomilikiwa na JWTZ

kuna kipindi hapa juzi Kikwete yuko ukingoni tulipokea onyo kutoka marekani baada ya kununua mfumo wa makombora kutoka Korea kaskazini
Kwann sasa watupangie..kulikua na athar gan kwao sisi kununua hizo vitu?naomba nisaidie mkuu
 
Ninavyoelewa Mimi ni sawa na kichuguu alivyoandika hapo, lakini hata refference uliyoweka hapo inasupport statement ya kichuguu, huwezi kutuma Hyper Missile kutoka chini, lazima ipigwe juu kwa juu.
 
Wewe unawaza kitu kimoja tu? Dunia hii ni multidimensional; jifunze kuwaza mambo mengi kwa pamoja. Thread hii ni ya kuhusu silaha za masafa marefu za kutoka Urusi zinazoweza kuwa ziko Tanzania (hatujui kama jeshi letu linazo kweli). Ukitaka mambo ya Kilimo, tukutane kwenye thread nyingine.

Ukraine wanalima sana, in fact ni kati ya nchi zinazozalisha ngano kwa wingi sana duniani lakini leo wamevamiwa. Unadhani wasingekuwa na silaha za kujihami wangekuwa wapi sasa.

Kama hutaki silaha basi futa jeshi.
 
Hakuna taifa linaloweka silaha nzito mpakani

Kigoma hakuna mfumo wa kutungua ndege (kumbuka tunategemea buk-system kwa ulinzi wa anga ) so kigoma hakuna Buk hata moja

Silaha nzito angalau zipo tabora tena ni chache mno
 
Bro issue ya silaha huwa ni classified unless umejaribu ku reveal kwamba kigoma hatuna buk system. Pale mbili nne buk system zipo japo siwezi kumwaga tactical specification zake hapa. I want to assure you hii mifumo ipo
 
Tuna bodi ya bandari pia ambayo hamna wanachofanya zaidi ya kula posho tu

Tuna bodi lukuki lkn hazina umuhimu wowote in short Tz hatuna ulinzi huo tunaodhani Upo
 
Point yake bado imesimama palepale, hatuna potential enemy, Ukraine yeye na Russia ni maadui wa miongo na miongo..

Sisi unayedhani atakuwa adui wa kutishia mpaka kuvamia nchi yetu kwa sasa na angalau miaka kumi ijayo ni nchi gani? Kama haipo tuweke tu mkazo kwenye mambo yanayotuumiza Watanzania..
 
Tule tusilaha ni moto wa kuotea mbali kiasi tunachoma vifaru nibalaa. Kuna mdau mmoja alileta hoja kuwa zama za vifaru zinakaribia kufika mwisho. Bro juvelin anashika mtu mmoja au wawili ila kakipiga kifaru kinaungua chote na waliomo ndani
Kuna baadhi ya vifaru ili viteketee inatakiwa vipigwe na makombora ya juvelin zaidi ya matatu
 
Tuna bodi ya bandari pia ambayo hamna wanachofanya zaidi ya kula posho tu

Tuna bodi lukuki lkn hazina umuhimu wowote in short Tz hatuna ulinzi huo tunaodhani Upo
Tumevamiwa? Unadhani tutavamiwa na nchi gai hivi karibuni? Diplomasia yetu na majirani ikoje??
 
Tuna bodi ya bandari pia ambayo hamna wanachofanya zaidi ya kula posho tu

Tuna bodi lukuki lkn hazina umuhimu wowote in short Tz hatuna ulinzi huo tunaodhani Upo
Personally sipendi kubeza vitu mpaka nifanye research, probably unachosema nikweli bodi nyingi za kiraia zimeperform kwa kiwango kidogo ukilinganisha na matarajio yetu. Ila wenzetu wa ulinzi wamejitahidi sana kufanya modification za mifumo ya ulinzi sio hapa but changamoto kubwa ni bajeti
 
Bro issue ya silaha huwa ni classified unless umejaribu ku reveal kwamba kigoma hatuna buk system. Pale mbili nne buk system zipo japo siwezi kumwaga tactical specification zake hapa. I want to assure you hii mifumo ipo
Hapo unapopataja(VAMIA) hakuna silaha yoyote nzito hawa hakuna Buk wala mfumo wowote wa Ulinzi wa Anga kwanza kikosi chenyewe now kipo chini ya kanal na kanal wa pale huwa haelewani na msaidizi wake mara zote akitaka kuondoka huwa anamuachia majukumu meja KS na kama hujui pale now kuna askari chini ya 500 tena waliobaki pale ni watovu wa nidhamu askari wote wenye nidhamu walimishiwa maeneo mengine hasa buronge napajua pale in and out
 
Na huo ndiyo ukweli mchungu.
 
Ukitaka kujua kuwa hizo bodi ni nothing angalia maisha ya askari angalia kota zao pale nyamanoro angalia kota zao za kitangiri

Angalia shirika la mzinga plus Nyumbu hakuna wanachofanya Nyumbu now ni gereji aliyakuwa zamani palikuwa panaudwa mpaka milipuko

Angalia kikosi cha anga kina nini cha kujivunia
 
Huyo jamaa anaeachiwaga ofisi na ceo namjua anatabia ya kichawa sana
 
Asante Mkuu Kichuguu,tunaokufahamu kitambo hapa Jamvini imebidi tusmile baada ya kuona mtu anahoji kama wewe ni graduate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…