Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Ni walowezi wa kitutsi kutoka Burundi Lakini wengi zaidi walitoka rwanda, wanaishi east DRC.Banyamulenge ndio kina nani? Rwanda nayo kuna watu mikono imejaa damu
Mkuu wao wanasema kuwa serikali ya congo haiwatambui Kama Ni raia , licha ya kutokuwatabua sidhani Kama serikali ya congo iliwafukuza Bali waliwaacha tuu, ila Mimi kosa kubwa walilo lifanya naona Ni kuchukua silaha na kuanza kupigana na serikali ya congo, japo najua wanawindwa na maimai, ila wangejilinda tuu na maimai na sio kupigana na serikali.Wachange faranga wakawahamishe ndugu zao kutoka DRC na kuwarejesha kwao Rwanda na Burundi, hawawezi watulie waangalie FARC na Maimai wakiwasaidia kuwahamisha.
Hawa Banyamulenge wame destabilize sana the region.
Everyday is Saturday............................... π
Mkuu nimekuelewa Sana kwenye point yako ya kuwahamisha waondolewe kutoka majimbo ya ituri, north na south kivu ili wapelekwe msjimbo ya magharibi ya congo itasaidia Sana , ili kukata connection ya rwanda na Uganda.Kipindi cha Mobutu aliwa contain sana hawa wanyamulenge/Watutsi/wahema na hawakubaguana na wenyeji.
Mobutu hata akisikia wanatwangana na wazawa basi anatuma majeshi yake kutuliza na kuwalinda hao wanyamulenge.
Tatizo baadae likawa population pressure na ukabila baada ya genocide ya Burundi-Rwanda ndio ukawagawa zaidi kati ya wazawa vs wanyamulenge.
Kma wangegoma kutumika na Kagame kwenye 1st Congo war kuanzia Masasi hadi minova huko, wasingekua na uhasama na wazawa. (Of course waligeukana baadae lakini ilikua too late)
Kibaya zaidi kipindi cha Kabila Snr kama wangekuwa watiifu tu wangekula bata hadi leo. Tatizo wakajiona wana hatimiliki kuliko hata wazawa mwishowe wakatimuliwa nchini, na hapo ndio wanyamulenge wakaanza na kuchinjwa bila hatia.
Kuna kipindi walitaka hata kuimega kivu iende Rwanda kwa kigezo cha kwamba iliwahi tawaliwa na machief wa kinyarwanda tokea 19th Century huko.
All in all wamekuwa wakitumika kama geti la Kagame kuivamia DRC!! Sio hao tu kuna wahema wapo Bunia yaani ni Watutsi kabisa ila wanajiita Wacongo nao ila likibumburuka unashangaa Museveni analeta malori kuwaondoa!! Unabaki unajiuliza sasa hawa ni wacongo au mapandikizi tu wa kitutsi!!
Suluhu wawahamishe kutoka Eastern Congo wapelekwe ndani ndani huko ili kukata connection na border za Ug na Rwanda.
Zaidi ya hapo waondolewe DRC wapelekwe Ug/Rwanda.
Ikifeli basi kijieneo cha North Kivu kikatwe alafu Banyamulenge na wahema sijui wagegere wote wahamishiwe humo na liwe taifa huru ama liunganishwe na Rwanda. Hizi vita na ubaguzi ndio utakoma.
Cc mng'ato mtu chake Richard irakunda Prof
Nimekuelewa wapelekwe Congo unamalizana na Atlantic wakahangaike huko,Kipindi cha Mobutu aliwa contain sana hawa wanyamulenge/Watutsi/wahema na hawakubaguana na wenyeji.
Mobutu hata akisikia wanatwangana na wazawa basi anatuma majeshi yake kutuliza na kuwalinda hao wanyamulenge.
Tatizo baadae likawa population pressure na ukabila baada ya genocide ya Burundi-Rwanda ndio ukawagawa zaidi kati ya wazawa vs wanyamulenge.
Kma wangegoma kutumika na Kagame kwenye 1st Congo war kuanzia Masasi hadi minova huko, wasingekua na uhasama na wazawa. (Of course waligeukana baadae lakini ilikua too late)
Kibaya zaidi kipindi cha Kabila Snr kama wangekuwa watiifu tu wangekula bata hadi leo. Tatizo wakajiona wana hatimiliki kuliko hata wazawa mwishowe wakatimuliwa nchini, na hapo ndio wanyamulenge wakaanza na kuchinjwa bila hatia.
Kuna kipindi walitaka hata kuimega kivu iende Rwanda kwa kigezo cha kwamba iliwahi tawaliwa na machief wa kinyarwanda tokea 19th Century huko.
All in all wamekuwa wakitumika kama geti la Kagame kuivamia DRC!! Sio hao tu kuna wahema wapo Bunia yaani ni Watutsi kabisa ila wanajiita Wacongo nao ila likibumburuka unashangaa Museveni analeta malori kuwaondoa!! Unabaki unajiuliza sasa hawa ni wacongo au mapandikizi tu wa kitutsi!!
Suluhu wawahamishe kutoka Eastern Congo wapelekwe ndani ndani huko ili kukata connection na border za Ug na Rwanda.
Zaidi ya hapo waondolewe DRC wapelekwe Ug/Rwanda.
Ikifeli basi kijieneo cha North Kivu kikatwe alafu Banyamulenge na wahema sijui wagegere wote wahamishiwe humo na liwe taifa huru ama liunganishwe na Rwanda. Hizi vita na ubaguzi ndio utakoma.
Cc mng'ato mtu chake Richard irakunda Prof
Mkuu Kuna kabila linaitwa wafuliro lipo south kivu hao ndio hawawataki kabisa mulenge na wanaandamana Sana , wamefika Hadi kipindi wana wanamgambo wa kabila wanapigana na mulenge.Nimekuelewa wapelekwe Congo unamalizana na Atlantic wakahangaike huko,
Upumbavu wao ujinga wao, generally ni watu wenye ubaguzi sana hao nyamulenge..huwa wanajiona SUPERIOR as if wakifa hawaozi.
Everyday is Saturday................................π
Mkuu umewahi kuishi nao Nini , wangepelekwa jimbo equatorial lililopakana na congo brazavill na Central Africa kule kaskazini mashariki mwa congoNimekuelewa wapelekwe Congo unamalizana na Atlantic wakahangaike huko,