Silence Genocide against Banyamulenge

Silence Genocide against Banyamulenge

Moronight walker

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2021
Posts
3,103
Reaction score
4,704
Jamii ya kabila ya banyamulenge waishio Europe, USA na kwingineko wanaandamana na kulalamika juu ya Maimai na jeshi la congo FARDC inafanya mauaji ya kimya kimya juu ya banyamelenge (Congolese Tutsi).

Mpaka Sasa nyumba zaidi ya 40,000 zimechomwa moto, ng'ombe zaidi ya 20,000 zimeibiwa na zingine kuuwawa, na watu zaidi ya 120,000 hawana makazi.

zitto junior, jMali na Ngongo
Karibuni.
Pia wango wanasema pia banyamulenge sio wakongo walikuja congo Kama wakimbizi, mulenge Ni mlima na sio jina la kabila, hivyo wanasema warudi rwanda.
Lakini pia wanasema banyamulenge wamesababisha Vita vilivyochukua maisha zaidi ya wakongo million 8 .
 
Wachange faranga wakawahamishe ndugu zao kutoka DRC na kuwarejesha kwao Rwanda na Burundi, hawawezi watulie waangalie FARC na Maimai wakiwasaidia kuwahamisha.

Hawa Banyamulenge wame destabilize sana the region.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Hawa ndio wanapeleka zile coltan nchi jirani ili zisafirishwe nje? Maana hizi vita zina mambo mengi sana
 
Wachange faranga wakawahamishe ndugu zao kutoka DRC na kuwarejesha kwao Rwanda na Burundi, hawawezi watulie waangalie FARC na Maimai wakiwasaidia kuwahamisha.

Hawa Banyamulenge wame destabilize sana the region.

Everyday is Saturday............................... 😎
Mkuu wao wanasema kuwa serikali ya congo haiwatambui Kama Ni raia , licha ya kutokuwatabua sidhani Kama serikali ya congo iliwafukuza Bali waliwaacha tuu, ila Mimi kosa kubwa walilo lifanya naona Ni kuchukua silaha na kuanza kupigana na serikali ya congo, japo najua wanawindwa na maimai, ila wangejilinda tuu na maimai na sio kupigana na serikali.
Mbaya zaidi mkuu wakaanza kushirikiana na serikali za nchi jirani kuweka Vita DRC ndo kosa kubwa walilolifanya.
 
Kipindi cha Mobutu aliwa contain sana hawa wanyamulenge/Watutsi/wahema na hawakubaguana na wenyeji.

Mobutu hata akisikia wanatwangana na wazawa basi anatuma majeshi yake kutuliza na kuwalinda hao wanyamulenge.

Tatizo baadae likawa population pressure na ukabila baada ya genocide ya Burundi-Rwanda ndio ukawagawa zaidi kati ya wazawa vs wanyamulenge.

Kma wangegoma kutumika na Kagame kwenye 1st Congo war kuanzia Masasi hadi minova huko, wasingekua na uhasama na wazawa. (Of course waligeukana baadae lakini ilikua too late)

Kibaya zaidi kipindi cha Kabila Snr kama wangekuwa watiifu tu wangekula bata hadi leo. Tatizo wakajiona wana hatimiliki kuliko hata wazawa mwishowe wakatimuliwa nchini, na hapo ndio wanyamulenge wakaanza na kuchinjwa bila hatia.

Kuna kipindi walitaka hata kuimega kivu iende Rwanda kwa kigezo cha kwamba iliwahi tawaliwa na machief wa kinyarwanda tokea 19th Century huko.

All in all wamekuwa wakitumika kama geti la Kagame kuivamia DRC!! Sio hao tu kuna wahema wapo Bunia yaani ni Watutsi kabisa ila wanajiita Wacongo nao ila likibumburuka unashangaa Museveni analeta malori kuwaondoa!! Unabaki unajiuliza sasa hawa ni wacongo au mapandikizi tu wa kitutsi!!

Suluhu wawahamishe kutoka Eastern Congo wapelekwe ndani ndani huko ili kukata connection na border za Ug na Rwanda.

Zaidi ya hapo waondolewe DRC wapelekwe Ug/Rwanda.

Ikifeli basi kijieneo cha North Kivu kikatwe alafu Banyamulenge na wahema sijui wagegere wote wahamishiwe humo na liwe taifa huru ama liunganishwe na Rwanda. Hizi vita na ubaguzi ndio utakoma.

Cc mng'ato mtu chake Richard irakunda Prof
 
Mkuu nimekuelewa Sana kwenye point yako ya kuwahamisha waondolewe kutoka majimbo ya ituri, north na south kivu ili wapelekwe msjimbo ya magharibi ya congo itasaidia Sana , ili kukata connection ya rwanda na Uganda.

Ila Hilo swala ya kukata ardhi naona Ni ngumu Sana coz nikitu walitaka kufanya na kina kagame ila Sasa Ni sio Siri Tena na unajua kuwa north kivu Ni eneo lenye Mali nyingi Sana , na hata wenyeji itakuwa ngumu kuwaondoa kutoka kivu zote mbili mkuu.
 
Kipindi cha Mobutu aliwa contain sana hawa wanyamulenge/Watutsi/wahema na hawakubaguana na wenyeji.

Mobutu hata akisikia wanatwangana na wazawa basi anatuma majeshi yake kutuliza na kuwalinda hao wanyamulenge.

Tatizo baadae likawa population pressure na ukabila baada ya genocide ya Burundi-Rwanda ndio ukawagawa zaidi kati ya wazawa vs wanyamulenge.

Kma wangegoma kutumika na Kagame kwenye 1st Congo war kuanzia Masasi hadi minova huko, wasingekua na uhasama na wazawa. (Of course waligeukana baadae lakini ilikua too late)

Kibaya zaidi kipindi cha Kabila Snr kama wangekuwa watiifu tu wangekula bata hadi leo. Tatizo wakajiona wana hatimiliki kuliko hata wazawa mwishowe wakatimuliwa nchini, na hapo ndio wanyamulenge wakaanza na kuchinjwa bila hatia.

Kuna kipindi walitaka hata kuimega kivu iende Rwanda kwa kigezo cha kwamba iliwahi tawaliwa na machief wa kinyarwanda tokea 19th Century huko.

All in all wamekuwa wakitumika kama geti la Kagame kuivamia DRC!! Sio hao tu kuna wahema wapo Bunia yaani ni Watutsi kabisa ila wanajiita Wacongo nao ila likibumburuka unashangaa Museveni analeta malori kuwaondoa!! Unabaki unajiuliza sasa hawa ni wacongo au mapandikizi tu wa kitutsi!!

Suluhu wawahamishe kutoka Eastern Congo wapelekwe ndani ndani huko ili kukata connection na border za Ug na Rwanda.

Zaidi ya hapo waondolewe DRC wapelekwe Ug/Rwanda.

Ikifeli basi kijieneo cha North Kivu kikatwe alafu Banyamulenge na wahema sijui wagegere wote wahamishiwe humo na liwe taifa huru ama liunganishwe na Rwanda. Hizi vita na ubaguzi ndio utakoma.

Cc mng'ato mtu chake Richard irakunda Prof
Nimekuelewa wapelekwe Congo unamalizana na Atlantic wakahangaike huko,
Upumbavu wao ujinga wao, generally ni watu wenye ubaguzi sana hao nyamulenge..huwa wanajiona SUPERIOR as if wakifa hawaozi.

Everyday is Saturday................................😎
 
Mkuu Kuna kabila linaitwa wafuliro lipo south kivu hao ndio hawawataki kabisa mulenge na wanaandamana Sana , wamefika Hadi kipindi wana wanamgambo wa kabila wanapigana na mulenge.
 
Nimekuelewa wapelekwe Congo unamalizana na Atlantic wakahangaike huko,
Upumbavu wao ujinga wao, generally ni watu wenye ubaguzi sana hao nyamulenge..huwa wanajiona SUPERIOR as if wakifa hawaozi.

Everyday is Saturday................................😎
Mkuu umewahi kuishi nao Nini , wangepelekwa jimbo equatorial lililopakana na congo brazavill na Central Africa kule kaskazini mashariki mwa congo
 
Back
Top Bottom