Kipindi cha Mobutu aliwa contain sana hawa wanyamulenge/Watutsi/wahema na hawakubaguana na wenyeji.
Mobutu hata akisikia wanatwangana na wazawa basi anatuma majeshi yake kutuliza na kuwalinda hao wanyamulenge.
Tatizo baadae likawa population pressure na ukabila baada ya genocide ya Burundi-Rwanda ndio ukawagawa zaidi kati ya wazawa vs wanyamulenge.
Kma wangegoma kutumika na Kagame kwenye 1st Congo war kuanzia Masasi hadi minova huko, wasingekua na uhasama na wazawa. (Of course waligeukana baadae lakini ilikua too late)
Kibaya zaidi kipindi cha Kabila Snr kama wangekuwa watiifu tu wangekula bata hadi leo. Tatizo wakajiona wana hatimiliki kuliko hata wazawa mwishowe wakatimuliwa nchini, na hapo ndio wanyamulenge wakaanza na kuchinjwa bila hatia.
Kuna kipindi walitaka hata kuimega kivu iende Rwanda kwa kigezo cha kwamba iliwahi tawaliwa na machief wa kinyarwanda tokea 19th Century huko.
All in all wamekuwa wakitumika kama geti la Kagame kuivamia DRC!! Sio hao tu kuna wahema wapo Bunia yaani ni Watutsi kabisa ila wanajiita Wacongo nao ila likibumburuka unashangaa Museveni analeta malori kuwaondoa!! Unabaki unajiuliza sasa hawa ni wacongo au mapandikizi tu wa kitutsi!!
Suluhu wawahamishe kutoka Eastern Congo wapelekwe ndani ndani huko ili kukata connection na border za Ug na Rwanda.
Zaidi ya hapo waondolewe DRC wapelekwe Ug/Rwanda.
Ikifeli basi kijieneo cha North Kivu kikatwe alafu Banyamulenge na wahema sijui wagegere wote wahamishiwe humo na liwe taifa huru ama liunganishwe na Rwanda. Hizi vita na ubaguzi ndio utakoma.
Cc
mng'ato mtu chake Richard irakunda Prof