Silent Hero Huyu ni Mzalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Ndie Aliyefanya Katiba Ifuatwe Mama Akawa!. Apewe Maua Yake!... Stahiki ni kuwa DGIS in Future!

"It's very unfortunate tulishindwa kumlinda akatwaliwa" . Hapa unamaanisha JPM aliuwa, je aliuawa na nani!? Hivi Abdul ni "core people"!? Ana maamuzi gani huko serikalini kwetu!? Au kuwapa madili machawa wa mama yake ndio ukuu wake!?
 
Kumbe hiyo the so called "vetting" ni porojo tu! Never Knew that. Sasa jamaa zetu wa kamati kuu hawakujua ni mtu gani wamemkabidhi Rungu pale Dodoma ile 2015!?
 
Chahali anatuandaa kisaikolojia kwani yuko mbioni kurudi na atarudi na rafiki zake kina january waje wanogeshe kampeni dhidi ya mama.

Sidhani kama alikuwa mtu.wa.kwanza kutangaza kifo cha magufuli.

Ila musiba sio.mtu.wa kumchekea ni mchumia tumbo na anabebwa na bashite. Siku mama akistaafu atakija kumsimanga ndio tabia.zake wakati wa.JPM alsimanga kikwete na.kina kinana.membe
 
Dunia inavituko!!!
 
Hukuwahi kuniangusha paskal Mayalla
 
THAT IS BRAVO ROGER.....

Hii ina amsha MIOYO ya KIZALENDO.....
Angalau sintatukana kwa muda......manake NURU kumbe bado ipo 👍 👍 👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…