Silent Hero Huyu ni Mzalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Ndie Aliyefanya Katiba Ifuatwe Mama Akawa!. Apewe Maua Yake!... Stahiki ni kuwa DGIS in Future!

Wanabodi
Hii ni C&P ya Barua ya wazi kutoka kwa mwana JF huyu Mwandamizi!.
Sababu ya kuileta Barua hii hapa, ni kuwajulisha wanabodi na Watanzania, kuwa tuna Watanzania wengi ndani na nje ya nchi ambao ni wazalendo wa kweli wa Taifa hili, waliofanya vitendo vya kishujaa, bila kutaka kulipwa chochote!.

Kumbe huyu ndie shujaa wa Taifa, aliwezesha Rais Samia kutangazwa. Hayuko peke yake, kuna silent hero kwenye wale vijana wetu wa idara, Baada ya JPM kutwaliwa ile tarehe ile, vijana mashujaa wazalendo wakajua mipango miovu iliyokuwa ikipangwa, wakamtonya Chahali na Chahali bila kupoteza muda, akaipandisha youtube as breaking news.
Hhuku nyuma, wakakausha kimya as if nothing happened!, wakamtuma Samia Tanga kumzuga ili wafanye yao. Baada ya breaking news ya Chahali, Zanzibar walifuta shughuli zote, huku bara zikiendelea as if nothing happened!.

Usikute ni kitendo cha Chahali kumuacha the cat out of basket ndio kimepelekea CDF kujua, na kuingilia kati!.

Its high time wazalendo hawa wa taifa hili, wawe rewarded accordingly.
Hii ni barua yake kwa Mama ..
C&P
Dear Mama @SuluhuSamia: Mtu Huyu Hana Nia Nzuri Nawe, Anataka Kukufarakanisha Na Baadhi Ya Watu Wanaokusapoti
Dear Mama Samia,
Heri ya mwaka mpya 2025. Na uwe na heri na mafanikio.
Jana nilikutwiti Mama, kuhusiana na video iliyochapishwa juzi na mtu anayeitwa Cyprian Musiba, ambaye alinitaja kuwa miongoni mwa watu wanaokutukana, sambamba na kushirikiana na raia wa kigeni kukuhujumu na kuhamasisha uvunjifu wa amani.
Dear Mama, huyu mtu hajaanza tabia hii leo. Februari 2018, alinitaja kuwa miongoni mwa “Watu Hatari” waliopanga kuipindua serikali ya marehemu John Magufuli.
Na kwa takriban miaka mitatu mfululizo, aliendelea kunichafua kwa nguvu kubwa kupitia magazeti yake ya Tanzanite na Sayari Yetu na chaneli yake ya YouTube.
Dear Mama, sitaki kutumia tukio hili kuwa kama fursa ya mimi “kujisafisha” kwako, kwa sababu sijawahi katika wakati wowote ule kufanya chochote kile dhidi yako, sio tu kwa sababu wewe Mama ni Mkuu wa nchi bali pia kwa sababu bado nina imani na matumaini katika uongozi wako.
Ikumbukwe kwamba mimi ndiye nilikuwa Mtanzania wa kwanza kutangaza kuhusu kifo cha marehemu Magufuli, sio kwa sababu iwe breking news bali kwa sababu kulikuwa na mipango miovu ya kukiuka katiba kukuzuwia Mama usiwe rais.

Kadhalika, mara baada ya kufanikiwa kukwamisha jaribio hilo la ukiukwaji wa katiba na wewe Mama kuapishwa, nilikuwa mmoja wa watu wachache maarufu kujitokeza hadharani kukemea matusi dhidi yako yaliyojificha kwenye kivuli cha uanaharakati.
Na pengine mwanao Abdul hajawahi kukufahamisha kwamba niliwahi kuwasiliana nae nilipopata taarifa kuhusu mpango dhalimu wa kukuchafua mtandaoni, mpango uliomhusisha mtu mmoja ambaye sasa anajitanabaisha kama mtetezi wako mtandaoni.
Japo Abdul, hakunijibu, lakini naamini ujumbe husika ulifika na pengine kupelekea kutofanikiwa kwa mpango huu.
Tofauti na anavyojaribu kujinasibu muda huu, huyo mtoa tuhuma amekuwa miongoni mwa watu wanaoneza propaganda kwamba kifo cha marehemu Magufuli kilikuwa sio mapenzi ya Mungu bali “kazi ya watu waliouwa wanaiwinda nafasi yake (marehemu).” Nina hakika vijana wako wa Idara ya Usalama wa Taifa wanaweza kukuthibitishia hilo.
Kadhalika, alichofanya Musiba ni mwendelezo tu wa genge fulani ambalo linaamini kwamba kwa vile sijawahi kukukosoa katika namna nilivyokuwa namkosoa marehemu Magufuli - kwa sababu zilizo wazi - basi labda “unaweza kunikumbuka”.
Lakini kubwa zaidi, katika mwaka huu wa uchaguzi, kuna hofu kwamba labda nikaombwa kushiriki kwenye kampeni zako, kama nilivyoombwa mwaka 2015 kushiriki kwenye kampeni za marehemu Magufuli. Kwahiyo kinachofanyika ni ku- “preempt” uwezekano huo.
Mwisho, Dear Mama, mara kadhaa nimetanabaisha kuwa miongoni mwa sababu zinazonifanya niendelee kukuunga mkono, licha ya wajibu wangu wa kiraia, ni heshima yangu kwa wanawake. Marehemu mama yangu (Mwenyezi Mungu amlaze mahali mema peponi) alinifundisha kuwa “kila mwanamke ni taswira ya mama yako”, na kwangu heshima kwa “mama zangu” ni kama “amri ya Mungu”, sio suala la mjadala bali la lazima.
Kadhalika, Dear Mama, binafsi nina deni kubwa la shukrani kwako. Japo haipendezi kumsema vibaya marehemu, lakini kulifanyika majaribio kadhaa ya kunidhuru wakati wa utawala wa marehemu Magufuli, lakini mara baada ya wewe kuingia madarakani, umefanikisha kukomesha hilo japo watendaji wasio watiifu kwako waliwahi kufanya jaribio moja lililofeli.
Licha ya hilo, hata kijarida hiki na vinginevyo ninavyoandika sasa vinasomwa nchini Tanzania kutokana na wewe Mama kuondoa zuio la TCRA dhidi ya vyombo mbalimbali vya habari rasmi na visivyo rasmi kama kijarida hiki. Japo kuna “wasio na shukrani” wanaoweza kusema “ah si ametekeleza tu wajibu wa kikatiba”, sie tuliolelewa na kufundwa kuhusu umuhimu wa kushukuru, tunafahamu bayana kuwa hili liliwezekana tu kutokana na utashi wako na wala sio wajibu wa kikatiba, kama ambavyo ruhusa yako kwenye mikutano na maandamano ya wapinzani ilivyotokana na utashi wako binafsi na sio shinikizo lakikatiba/kisheria.
Uniwie radhi kwa kukuchukulia muda wako adimu lakini nimeonelea ni vizuri kuweka rekodi sawia, na wala sio kwa kuhofia kwamba unaweza kuamini tuhuma za Musiba - mzushi mzoefu aliyewahi kuwazushia tuhuma nzito za uongo viongozi mbalimbali nchini.
Nimalizie kwa kukutakia tena heri ya mwaka mpya.
Jamhuri ya Muungano, Kazi iendelee 🙏

Mwisho wa kunukuu
My Take.
Everest Chahali anastahili kupewa maua yake, tena kwa viwango vyangu mimi, huyu mtu anastahili kuwa DGIS!.

Uzalendo wake ni kama uzalendo wangu, tofauti yake na mimi, yeye ni Tiss, hivyo ana access na vyombo husika ikiwemo reaching out the core people akiwemo Abdul.
Mimi uzalendo wangu, kwa vile sio mtu wa kule, naufanyia humu jf only.
Hata mimi pia niliwahi kumuandikia barua Dear Mama... Mama, I'm here to support you, to serve our country. I'm here sio tu kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu, bali pia kuutumia. But...
Kiukweli Erick Kabendera ametusaidia sana watu kufunguka!. Aliyefunguka hapa ni TISS kwenye barua hiyo ni TISS!.

Paskali!.
blocked
blocked
Mama anatakiwa kumuona huyu Kwa jicho la pekee.
 
Kumekucha

Anafaa kuwa nani sasa? Rais au Mwenyekiti wa Chama cha habari au CEO wa kampuni yako?

Huwa siwaamini kabisa spies. Mtu aliye nje ya system sababu ya kukizanzana na maboss wake kwenye kazi anayoipenda sana, unamuaamije anamaanisha anachosema?

Just for your information, the guy is one of those rare local species with the art of disguising the public. He is good at deception
 
the guy is good kwenye kazi yake, TIss needs transformation, exposure ya huyu jamaa inaweza kusaidia sana。
P
 
Hon Learned Counsel of the high court and prominent senior journalist, I applaud your renowned interactive with the stings of your caliber like a fugitive spy EVACHA.

Are you suggesting that this guy fits to be coronated into the top sitting of the spymaster of the banana republic?

To win my accolade and others you are hereby challenged to convince him to expose what happened to JPM's demise root cause as what was announced by the government was alleged to be manipulated to neutralize the political tension and the citizens' potential backlash.

Two coverts Eric Kabendera and Evarist Chahali should come out to tell the public as to who was involved in accelerating the extermination of the late 'Jiwe Kweli Kweli' alias bulldozer contrary to which these are mere rhetorical commendations to one of the mercenaries.
Anomancy (Behavioral Code Numbers)
  • Strengths and weaknesses: This can help to identify a person's strengths and weaknesses.
  • Compatibility: This can help to assess the compatibility between two people.
  • Personal growth: This can help people make better decisions and grow as individuals.
EK=7-introverts and thinkers
EC=8-power, strength, ambition, efficiency, discipline, reality, money, finances, truth, integrity, abundance and prosperity
JPM=3-creative, expressive, and social
1. Code 7+8= 6 (reliable, hard-working, responsible, and trustworthy)
2. Code 7+3= 1 (independent, ambitious, and strong-willed)
3. Code 8+3= 2 (diplomatic, sensitive, and cooperative)
4. Code 6+1+2=9 (punctual, disciplined, and inspiring)

The combination of the stings reveals personality traits and destinies........
 
The guys is also so arrogant. Arrogance yake ndio imekuwa limitation pia. TISS inahitaji watu wenye balanced minds. Sio wanaofikiria wao ndio wanajua kila kitu, hata kama hawajui lolote
 
Mtu aliyefanya kazi za intelijensia kama huyo tena Kwa miaka mingi halafu si Kwa miaka mingi mitupu bali senior mwenye kuheshimika huko idarani, mtu aliyejitolea maisha Yake kutulinda sisi kwanini Mimi nisimuite shujaa wa kweli na si keyboard warriors kama sisi hapa JF. Wakati mwingine nadhani mtu anaweza kutofautiana mtazamo au mitazamo Fulani kuhusu jambo Fulani hivyo ikapelekea kuonekana kama unapingana na watu au watu wakubwa hivyo ikapelekea balaa hata kukimbia nchi. Nchi hii ina watu wengi wazalendo, lakini nao pia ni binadamu wanataka kuishi, kulala vizuri na kunywa vizuri na si kukimbizana na kuwindana na watu wanaowafahamu.

Hivyo ni vizuri viongozi wetu wa kisiasa wawe wazalendo maana wakumbuke tu koo, familia zao tunaishi nazo hapa nchini maana muda unaponya au kuumiza, wapo baadhi ya viongozi wakubwa waliostaafu Hadi Leo wanajuta kwenye mioyo na nafasi zao na kulia Kwa Siri Kwa uharibifu walioufanyia nchi hii, watalipa palipo pakubwa kama waliokwisha lipa kabla Yao.
 
Kamwa kweli ni mzalendo mwambie aje hadharani kutoboa siri ya kilichomkuta JPM mara tu baada ya kutoka kufungua majengo ya polisi kule Kurasini hapo ndipo urejee kumsifia mtu mwenye kiburi, jeuri , ujuaji nk. TISS safi hajiweki hadharani kama huyu alivyo, huyu anatafuta maslahi tu, ndio maana kipindi cha mwanzo cha utawala wa JPM walikuwa marafiki sana lakini JPM alipombaini ni ndumila kuwili akaghairi kumpandisha cheo kwenye kitengo na wenzie waliokuwa wananyemelea walipogundua uchonganishi ukachochewa hadi huyu mtu wa milimani akatimkia Uskochi huko hadi leo.
 
Kwa kuwa yeye hawezi kudhubutu kusema, naomba useme na utuambie wewe Nini kilitokea. Kiburi, na jeuri zake ziko wapi, tuambie na hili. Nitashukuru ukisema.
 
Basi huna haja ya kusema kwa watu Fulani ni jeuri na kiburi bila kusema ujeuri wake. Acha watu wamuimbe Kwa jinsi wanavyojua wao maana wewe umefanya unafiki mkubwa.

Obtuse reaction
 
Kamwa kweli ni mzalendo mwambie aje hadharani kutoboa siri ya kilichomkuta JPM mara tu baada ya kutoka kufungua majengo ya polisi kule Kurasini hapo ndipo urejee kumsifia mtu mwenye kiburi, jeuri , ujuaji nk. TISS safi hajiweki hadharani kama huyu alivyo, huyu anatafuta maslahi tu, ndio maana kipindi cha mwanzo cha utawala wa JPM walikuwa marafiki sana lakini JPM alipombaini ni ndumila kuwili akaghairi kumpandisha cheo kwenye kitengo na wenzie waliokuwa wananyemelea walipogundua uchonganishi ukachochewa hadi huyu mtu wa milimani akatimkia Uskochi huko hadi leo.

Hilo hawawezi kuongea...maana wanaona hatuna sababu ya kulijua. Ila kupewa UDG ndio tunatakiwa kujua.
Yes ni mbobezi. Ila ni arrogant sana. Sioni kama mtu arrogant anaweza kutusaidia kufika popote
 
Back
Top Bottom