Silent Hero Huyu ni Mzalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Ndie Aliyefanya Katiba Ifuatwe Mama Akawa!. Apewe Maua Yake!... Stahiki ni kuwa DGIS in Future!

Basi huna haja ya kusema kwa watu Fulani ni jeuri na kiburi bila kusema ujeuri wake. Acha watu wamuimbe Kwa jinsi wanavyojua wao maana wewe umefanya unafiki mkubwa.
Ujeuri tu...na arrogance juu yake. Hata katika maandishi yake hilo huwa halifichi. Hana sifa za kuwa mtu wa juu wa idara yenye interest nyingi tofauti tofauti, kama TISS.

"If you only have a hammer, you tend to see every problem as a nail. Abraham Maslow" TISS haihitaji mtu ambaye kila tatizo analiona ni msumali wa kupigwa nyundo upotelee huko ndani...hata kama ndani unaharibu
 
Kwangu Mimi namuona ni mtu shujaa sana, may be Kwa kuwa ninaona upande wake mwingine.

Unajua Kuna watu Kwa kujua kwao sana vitu vingi na kujaaliwa kidogo akili kubwa, hujiona kama vile wanaweza kufanya na kutoa maoni yyte na wakasikilizwa, hii huleta kiburi na kutokuelewana, inawezekana yupo kwenye hili kundi, labda.

By the way, sijui chochote huko ndani alifanya vitu gani Hadi aonekane Kwa picha hii. Mtu anaweza kuwa na version nyingi kama kinyonga, it's possible maana Kila mmoja na upande wake mbovu.
 
Mkuu Benja, Benjamini Netanyahu , nakwenda 60, nimefanya zaidi ya 30 years, mimi ni mwandishi wa habari, naandikia magazeti 6, mimi ni mtangazaji wa redio, natangazia redio 5, mimi ni mtangazaji wa TV, natangazia vituo 5, mimi ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea nikitoa elimu ya katiba, sheria na haki, na msaada wa kisheria, niwe DAS ili nikafanye nini?.
Please!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
Mkuu hata Kitila Mkumbo alisema hataki kazi za kuteuliwa na alilaani Rais kuteua wahadhiri lakini alipoteuliwa alishukuru vibaya sn mpk sahivi anatamanni angekuwa na miaka 24 atafune keki ya nchi. But hongera mkuu
 
Wahaya wote walikuwa chini ya dola kuu ya Bunyoro,hivyo ni wakoloni ndio waliweka mipaka wakakata makabila,Wahaya ni Baganda, Wanyasa ni Wamalawi, Wajauluo ni Kenya, etc。
P
Mwisho naona umekubari kwamba EK asili yake kabisa kabisa ni wa kule kwa Kabaka Mutesa
 
Mkuu Benja, Benjamini Netanyahu , nakwenda 60, nimefanya zaidi ya 30 years, mimi ni mwandishi wa habari, naandikia magazeti 6, mimi ni mtangazaji wa redio, natangazia redio 5, mimi ni mtangazaji wa TV, natangazia vituo 5, mimi ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea nikitoa elimu ya katiba, sheria na haki, na msaada wa kisheria, niwe DAS ili nikafanye nini?.
Please!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
Guuku, hutaki vijana wakutanie, umeshakuwa Babu yao.
 
Mkuu Benja, Benjamini Netanyahu , nakwenda 60, nimefanya zaidi ya 30 years, mimi ni mwandishi wa habari, naandikia magazeti 6, mimi ni mtangazaji wa redio, natangazia redio 5, mimi ni mtangazaji wa TV, natangazia vituo 5, mimi ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea nikitoa elimu ya katiba, sheria na haki, na msaada wa kisheria, niwe DAS ili nikafanye nini?.
Please!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
Shikamoo Mshua 🙏🙌60 so mchezo
 
Back
Top Bottom