Silent Ocean Wamefanikiwa Kunitia Hasara Na Kunipotezea Wateja.

thesis77

Member
Joined
Jan 11, 2021
Posts
13
Reaction score
43
Sijui Ni Nani Atakaesoma Hii Thread. Ila Nategemea Kama Mtu Ni Mfanyabiashara basi ataweza Kunielewa Vyema Kile Ninachokipitia.

Sifa Kubwa ya Biashara Yoyote ile na Ustawi Wake ni Uaminifu. Biashara inapopoteza uaminifu wake kwa wateja wake, Ustawi wake unakua mgumu kupita maelekezo.

Kitendo cha Silent Ocean Kuamua Kuufukia Mzigo Wangu Ilhali Wamekabidhiwa Tangu Mwezi Wa Tisa, Kumenitikisa Kupita Maelezo na Kuniharibia Brand Kwa Kiasi Kikubwa.

Kisingizio Chao: Meli zilijaa, hivyo katika Awamu zote Carton zako hakupakiwa kwenye Kontena.

Mara Meli inaingia Tarehe 15/10....mara tarehe 19/10....mara Tarehe 20/10....mara tarehe 9/11...nazidi Kupigwa Tu Calendar.

Nimekua nikisafirisha nao mizigo Mingi Mno, kwa Miaka zaidi Ya 6 sasa, ila Awamu hii imekua too much.

Na ndio maana Biashara zingine hazikui kwa sababu ya mapuuza kama haya. Ifike mahali wasafirishaji wajue kua mizigo wanayosafirisha imebeba Ndoto & Maisha ya Watu.

Tunafelishana Sana aisee!
 
Tuchange tununue Meli yetu.
 
Je! Hawana Dawati Lao la Malalamiko? Maana Kama Umeweza Kufanya Nao kazi Miaka 6. Kampuni Kubwa kama hiyo Si Inasehemu ya Kwenda Kulalamika ndugu

Wafuate Kiastaarabu , Waambie Waandikie ..mkishindwana Mpeleke kaneni Mahakamani
 
Kitendo cha Silent Ocean Kuamua Kuufukia Mzigo Wangu Ilhali Wamekabidhiwa Tangu Mwezi Wa Tisa, Kumenitikisa Kupita Maelezo na Kuniharibia Brand Kwa Kiasi Kikubwa.
  • Kuna kampuni , wateja wanadai mizigo yao tangu mwezi wa tatu(March 2026).
  • Baada ya kuona malalamiko yamekuwa mengi - wameamua ku_block members/wateja wote wasiweze ku-post kitu
1793536193957.png

---My take---
Tumia hizi kampuni at your own risk, lolote lakutekea likitokea hasara kwako
 
Kama wewe ni mzoefu kwao kwa miaka 6 hukutakiwa kulalamika hapa. Unless uwe unajimwambafai na muda uliowazoea.

Ratiba ya meli mwisho wa mwaka huwa ni ngumu, kila mtu anaagiza mara nguo, viatu, vifaa vya shule, mambo ya msimu wa sikukuu. Watu wanaagiza July ili mpaka November mzigo uwe umefika.

Wewe kuagiza September na kutarajia October inaisha mzigo unao tiyari unatuonyesha jinsi ambavyo huna uzoefu wowote kwenye hizi mambo. Nenda uko unakohisi watawaisha mizigo uone.

Na inaonekana huna store wala huna mtaji wako unapokea hela za watu ndio unaagiza. Siku nyingine usiwaambie wateja eti wasubiri siku 30 watapokea mzigo. Air cargo tu sometimes inatokea mistake mzigo unafika miezi miwili baadae, sembuse meli.
 
Boss Hii Thread ni kwa ajili ya watu wenye akili ya utimamu, hasa wafanyabiashara wanaojielewa...sasa wewe kama ndio mchango wako kwenye hii Thread upo hivyo then hapa sio mahala pako...katafute sehemu nyingine
 
Unless kama ww ni Chawa Wa Silent Ocean
 
Je! Hawana Dawati Lao la Malalamiko? Maana Kama Umeweza Kufanya Nao kazi Miaka 6. Kampuni Kubwa kama hiyo Si Inasehemu ya Kwenda Kulalamika ndugu

Wafuate Kiastaarabu , Waambie Waandikie ..mkishindwana Mpeleke kaneni Mahakamani

Ndugu nimefanya hayo yote, zaidi napigwa tu Calendar...saizi nimewatumia barua rasmi kwenye barua pepe yao... nategemea majibu kesho
 
Boss Hii Thread ni kwa ajili ya watu wenye akili ya utimamu, hasa wafanyabiashara wanaojielewa...sasa wewe kama ndio mchango wako kwenye hii Thread upo hivyo then hapa sio mahala pako...katafute sehemu nyingine
Kwenye wenye akili na utimamu yawezekana haupo.

Kwenye wafanyabishara wanaojielewa ndio haupo kabisa kabisa.

Hakuna mfanyabiashara anayejielewa anayekabidhi mzigo wake September, alafu usipofika October anaenda mtandaoni kulalamika. Ingekuwa February to March walau kidogo hamna foleni, ila mwisho wa mwaka ni vigumu. Na pale wanapobahatisha kufikisha mapema haimaanishi ndio itakuwa hivyo hivyo kwa kila mtu.

Hii ni kwa makampuni yote, sio Silent Ocean tu. Huna hiyo miaka 6 ya kuagiza mizigo, huna.

Foleni ya kupokea mizigo warehouse uko China, kutafuta meli, on board, kusafirisha, kupanga foleni meli ni nyingi bandari uwezo mdogo, berthing, kushusha na kukagua, kupeleka warehouse yao. Vyote hivyo ndani ya September-October?
Ingekuwa February-March possibility ni kubwa hamna foleni.
 
Sijui Ni Nani Atakaesoma Hii Thread. Ila Nategemea Kama Mtu Ni Mfanyabiashara basi ataweza Kunielewa Vyema Kile Ninachokipitia.

Sifa Kubwa ya Biashara Yoyote ile na Ustawi Wake ni Uaminifu. Biashara inapopoteza uaminifu wake kwa wateja wake, Ustawi wake unakua mgumu kupita maelekezo.

Kitendo cha Silent Ocean Kuamua Kuufukia Mzigo Wangu Ilhali Wamekabidhiwa Tangu Mwezi Wa Tisa, Kumenitikisa Kupita Maelezo na Kuniharibia Brand Kwa Kiasi Kikubwa.

Kisingizio Chao: Meli zilijaa, hivyo katika Awamu zote Carton zako hakupakiwa kwenye Kontena.

Mara Meli inaingia Tarehe 15/10....mara tarehe 19/10....mara Tarehe 20/10....mara tarehe 9/11...nazidi Kupigwa Tu Calendar.

Nimekua nikisafirisha nao mizigo Mingi Mno, kwa Miaka zaidi Ya 6 sasa, ila Awamu hii imekua too much.

Na ndio maana Biashara zingine hazikui kwa sababu ya mapuuza kama haya. Ifike mahali wasafirishaji wajue kua mizigo wanayosafirisha imebeba Ndoto & Maisha ya Watu.

Tunafelishana Sana aisee!

Pole sana kiongozi, japo mizigo kutoka China ukiwahi sana sana huchukua mwezi mmoja ila inaweza kuongezeka hadi mwezi na wiki mbili hadi miezi miwili na kuendelea kutegemea na msimu. Vuta subra.....
 
Kwenye wenye akili na utimamu yawezekana haupo.

Kwenye wafanyabishara wanaojielewa ndio haupo kabisa kabisa.

Hakuna mfanyabiashara anayejielewa anayekabidhi mzigo wake September, alafu usipofika October anaenda mtandaoni kulalamika. Ingekuwa February to March walau kidogo hamna foleni, ila mwisho wa mwaka ni vigumu. Na pale wanapobahatisha kufikisha mapema haimaanishi ndio itakuwa hivyo hivyo kwa kila mtu.

Hii ni kwa makampuni yote, sio Silent Ocean tu. Huna hiyo miaka 6 ya kuagiza mizigo, huna.

Foleni ya kupokea mizigo warehouse uko China, kutafuta meli, on board, kusafirisha, kupanga foleni meli ni nyingi bandari uwezo mdogo, berthing, kushusha na kukagua, kupeleka warehouse yao. Vyote hivyo ndani ya September-October?
Ingekuwa February-March possibility ni kubwa hamna foleni.

Wewe huelewi Importation namna ilivyo na ndio maana huwezi elewa why malalamiko yanafanyika miezi miwili baada ya mzigo kupakiwa kwenye meli.

Ninachokiona kwako, ni wale watu ambao mnaagiziwa mizigo kwenye magroup ya whatsapp na mnachangishwa ela.

Anyway, siwezi endelea kukuelezea haya maana inaonesha wazi kabisa kua hili jukwaa sio lako
 
Back
Top Bottom