Silent Ocean Wamefanikiwa Kunitia Hasara Na Kunipotezea Wateja.

Hawa nao walichangia CCM? Kama ndio basi Hana cha kuwafanya mkuu. Zidisha maombi kiongozi. Na pole kwa Changamoto.
Kazi ni kipimo cha utu
Hakuna mfanyabiashara mwenye cha kuwafanya wasafirishaji melini wawe wameichangia CCM au TLP pale wanapochelewesha mzigo ndani ya siku 60. Biashara nyingine ni too complex na wenye nazo wanajua terms and regulations huwezi washika kwa mambo ya kitoto hivi.

Cargo company inapokea mzigo China kwenye warehouse, inaupanga vizuri kwenye kontena inapakia on board. Baada ya hapo haiendeshi meli yenyewe (ni kazi ya mmiliki wa meli), siyo inayoruhusu meli kutoka au kusubiri kukaguliwa (ni kazi ya mamlaka za China), meli ikifika Dar es Salaam haipaki tu kama uhani mpaka ifuate utaratibu wa TPA, kushusha mpaka ikaguliwe au iruhusiwe (cargo company haihusiki). Foleni ya kutoka bandarini mpaka warehouse ndio ukapokee.

Huo mzunguko una sehemu nyingi za kukwama ambazo hawahusiki. Sasa mpaka unashitaki inabidi uwe na uelewa unayemshitaki anahusika vipi direct na kukukwamisha. Mfano wangechukua mzigo kisha wakaupoteza hapo sawa, au wangekaa miezi let's say mitatu bila maelezo ya msingi kama mzigo umepakiwa lini, meli imetoka lini ili ufanye tracking kama kweli meli ilitoka na kama imefika then hapo ndio unajua kama meli ina wiki 3 imefika how comes sijapata mzigo. Ila haya mambo ya kusema bure bure tu "wamechelewa, wamechelewa" meli sio bodaboda.

Kuna mwaka bandari ilikuwa inachimbwa kuongezwa kina, foleni ikawa kubwa. Watu wakawa wanalalamikia makampuni ya usafirishaji wakati hata ukipita peninsula unaona meli zilivyosubiri baharini. Haya malalamiko ya meli kucheleweshwa kushusha yanajulikana, perishable goods wanaofanya exportation kama parachichi huwa hawapiti Dar huwa wanaenda Mombasa kukwepa sintofahamu kama hizi.
 
Mkuu mbona unatumia nguvu kubwa saana, wewe ni mwijaku?
 
Upo sahihi mkuu hasa kwa kipindi hiki kuelekea mwisho wa mwaka mizigo ni mingi mno.
 
Back
Top Bottom