Kabla au baada?Mdogo but very intelligent.
IQ haibadiliki kamwe, sababu it is a matter of reasoning, critical thinking & decision making in a given time t.Kabla au baada ?
Especially wakitupiwa mchele...Vijana wadogo ndiyo wamekua na njaa sana
Mchele is nothing, what matter is the political career. Ukiona kijana kama Mh.Silinde anajibu baadhi ya hoja za kufukuzwa kwake ujue kuna tatizo mahala.Especially wakitupiwa mchele.......
Kama silinde ni intelligent basi Tz kuna tatizo kubwaMdogo but very intelligent.
IQ haibadiliki kamwe, sababu it is a matter of reasoning,critical thinking & decision making in a given time t.
Kumbe kala chumvi kidogoAkifanya mahojiano yake na kituo kimoja cha online TV mbunge David Silinde ameweka umri wake hadharani.
Silinde amenukuliwa akisema yeye bado Kijana na umri wake ni miaka 35...
Muulize Trump wa Marekani au John wa Tanzania.Ati IQ haibadiliki kamwe??
...acha kuleta story za vijiwe vya kahawa!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Muulize Trump wa Marekani au John wa Tanzania.
IQ is not dynamic buy it resonates to complete a circle per given time t.
Eh! basi tumekwisha, kama na huyu ni intelligent, hatuna watu ndio kama akina Kabudi!Mdogo but very intelligent.