Silinde ataja umri wake hadharani

Silinde ataja umri wake hadharani

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Akifanya mahojiano yake na kituo kimoja cha online TV mbunge David Silinde ameweka umri wake hadharani.

Silinde amenukuliwa akisema yeye bado Kijana na umri wake ni miaka 35.

At the Hill i used to think Silinde was in his 30s or something (way back in 2008/2009).

Kumbe Bwana mdogo tu kiumri.
 
Especially wakitupiwa mchele.......
Mchele is nothing, what matter is the political career. Ukiona kijana kama Mh.Silinde anajibu baadhi ya hoja za kufukuzwa kwake ujue kuna tatizo mahala.

Ni suala la muda tu, kuna vingi vitabainika ambavyo vitabadili sura za siasa za vyama vingi.
cc. Mtatiro, Mwikwabe, Mloe, Mselewa, Silinde, M. Magessa, & Co. V/s Mkandala
 
IQ haibadiliki kamwe, sababu it is a matter of reasoning,critical thinking & decision making in a given time t.

Ati IQ haibadiliki kamwe??
...acha kuleta story za vijiwe vya kahawa!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hata tundu lisu anaitwa kijana, wakati ana miaka 60 huko, ...
 
Akifanya mahojiano yake na kituo kimoja cha online TV mbunge David Silinde ameweka umri wake hadharani.

Silinde amenukuliwa akisema yeye bado Kijana na umri wake ni miaka 35...
Kumbe kala chumvi kidogo
 
Muulize Trump wa Marekani au John wa Tanzania.
IQ is not dynamic buy it resonates to complete a circle per given time t.

Ndio hao waliokudanganya...!? Maana hicho kiingereza chako ni kama cha huyo John kabisa!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom