Silly question...


Waoooooo
so romantic...

hahahah hapo ulipolewa nimecheka lohhhh

dahhhh hiyo tamu sana mi slali leo mpaka umalizie story..
ntasubiri mpaka kesho.. Tamu sana .. hongera tena kwa kweli..
 
Nimeipenda Sana hii
 
hahaha Sie huo uzungu hatujapitia bana! lol

si uzungu bana ..

Bibie kuna ka hidden ajenda kwenye hii thread?

hamna lolote ... Best yangu ilimtokea jana ... nkaona niulize maana yake ilikuwa kichekesho kwa kweli..
( lakini raha kupita kiasi walivyotupa story, wanapendana sana ila jamaa alikuwa anatetemeka, jacho, chozi looohhh)
 
si uzungu bana ..



hamna lolote ... Best yangu ilimtokea jana ... nkaona niulize maana yake ilikuwa kichekesho kwa kweli..
( lakini raha kupita kiasi walivyotupa story, wanapendana sana ila jamaa alikuwa anatetemeka, jacho, chozi looohhh)
Hebu mshawishi Kimey atuambie basi mimi nimejaribu kagoma kabisa labda wewe atakubali lol
 
dahhhh
nidokezee ya kwako kidoncho basi....
yaelekea unayaelewa sana.. ( si lazima kama hujisikii lakini)

Yaani AD nilichoeleza hapo juu was just my part
It was out of nothing niliaandaa kiparty bila yeye kujua somewhere out of our usual place
Nikawaambia washkaji zangu na ndugu wale wa karibu kuwa i want to engage my girl ambaye wote walikuwa wanamjua
Before nilikuwa nishamfanyia suprise nyingine maana nilimnunulia nguo moja nzuri sana aliyokuwa anaipenda na anaitamani kwa mjuda mrefu
Ni nguo ya outing za usiku so nikamuomba that day kuwa nitaomba nitoke naye akiwa amevalia that dress i bought for hre twende dinner mahali
She accepted and we drive to that place and out of blue a table was prepared for us na it was just two of us as per arrangement. Baada ya kama nusu saa tukiwa tunapata wine walianza kuja marafiki mmoja baada ya mwingine then my ndugu then the place (was just in a special place in a hotel ) full and walianza kupata kinywaji wakati wanasubiri na story zikiwa zinaendelea
Kwake ilikuwa suprise akauliza what is going on nikamwambia i don know maana niliaarange hii just me and u ila nashangaa watu wametoka wapi
Bado akiwa kwenye mshangao nilitoka kwenye kiti nilichokuwa nimekaa nikapiga goti langu na in her suprise i ask her to marry me
After a long breath and quiteness of the place and every one looking at her alitoa chozi (sijui la furaha au mshangao) then she said YES and alinishika mkono kuninyanyua pale chini and lile furushi la maua lililoandaliwa lililetwa kwake
You know what happen next was hug and kissing and wow ........ so nice one nikikumbuka

That is my story AD
 
asante
sorry net ilikuwa mbovu
mambo yanakwenda vizuri kabisa sasa

nashkuru sana kusikia hivyo..
maana nlijaribu ikawa inasumbua..
baadaye ndo ikakataa kabisa..

Nashkuru sana kusikia u mzima ..🙂
 
Hebu mshawishi Kimey atuambie basi mimi nimejaribu kagoma kabisa labda wewe atakubali lol

Mi wala hata sjaribu..
akinikatalia itaniuma sana..
Bora nsijaribu hahahah lol
 

mimi bado,...ila nafikiri ni bora mtu anayelia maake watu wanavyo lalamikia ndoa zao humu jamvini ni balaa mara ni muda gani wa kurudi nyumbani,mara kafanya nini,...mmmh sijui,...ni bora kuwa single and available
 

waooooo
I'm speechless...
Ntarudi kukushukuru tena..

Kuna raha sana duniani kwa kweli..
 
mimi bado,...ila nafikiri ni bora mtu anayelia maake watu wanavyo lalamikia ndoa zao humu jamvini ni balaa mara ni muda gani wa kurudi nyumbani,mara kafanya nini,...mmmh sijui,...ni bora kuwa single and available

sawa uamuzi wako sababu ni maisha yako...

Na kama maisha ya watu hapa Jamvini yanakukatisha tamaa
kwa kwli nakupa pole.. sababu wengine hapa wanafuata mkumbo tu
na wengine wanajaza tu posters ....
 
waooooo
I'm speechless...
Ntarudi kukushukuru tena..

Kuna raha sana duniani kwa kweli..

Thank you sana AD
Yaani huwa nikikumbuka nafurahi na huwa tunaenda ile sehemu mara kwa mara just kupumzika na kupata kahawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…