Kwanza there is no silly question, just silly answers.
Mi nilialikwa na mpenzi wangu kwake, nikawahi kufika. nikaanza kunywa wine aliandaa (red) as anaendelea kupika. tulivo fika juu ya meza I was too drunk kuelewa kinacho endelea so akaamua anirudishe home. ila kesho yake aliamkia saa 11, akaingia hadi chumbani. nilishtuka sana nikadhani kuna shida. akakaa next to me (na mimi nilikua nimesha kaa) alafu akanambia alikua na neno la kusema toka jana ila aliona nilikua sina hali ya kuelewa vizuri.
then akasema anahisi I bring a new dimention to his life na anapenda the way I look when I wake up na maneno mengine mengi ya uongo na ya kweli. Kwa vile tulikua tunatoka katika mzozano wa nguvu nikajua tu ataishia kusema "but I think we should break up" so nikaanza kusema : hata mimi nahisi hivo na please give us another change to make it right.
hapo ndipo alipiga goti, akanishika mkono wa left na akasema: XXX, would you stay with me forever? as my wife?
Haki nikalia straight. It was such a relieve!!! mengine nitakwambia kesho. hapa nakumbuka I feel all emotional again...