Silly question...

Inayopandisha presha zaidi ni pale baada ya kuuliza, "Unakubali tuoane, nikuoe, kuwa mke wangu n.k?", mtarajiwa anauchuna kama dakika 5 hivi baadae inamtoka: N........................................................................ya kigugumizi au anapumua kwa Haaaaaaa.......................
Hujui kama hiyo N...........................zitamalizia kuwa NDIO au NO na Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa........itaishia na HAPANA au YES. Unachanganyikiwa. Hujui kama ni stress yake, kupumua au ndio umewachwa solemba. Lakini hatimae kauli inatoka. N.........................DIO, au YES.
 
na huo ndio ukweli wenyewe coz hujui ya kwako itatokeaje na mshtuko unaweza ukawa tofauti pia kutokana na mazingira(ilipangwa/haikupangwa)

asante ..
sjui kama ntavumilia mpaka niulizwe..
lakini nimependa ushauri wako sana πŸ™‚
 

hhahahahahaah lol
Hapo jamaa jasho litamtoka ...
sjui ndo atakuwa anatetemeka loohh
sintataka kumuona mtu kwenye hali hiyo...
 
TF naomba basi kidoncho tuuu..
nawe bana wataka nlie au niondoke..πŸ™
Unakumbuka siku ile wakati nimetoka kuchunga mbuzi wa babu (Asprin) halafu wewe ulikuwa umekaa kule karibia na wanapoweka kuni........
 
Unakumbuka siku ile wakati nimetoka kuchunga mbuzi wa babu (Asprin) halafu wewe ulikuwa umekaa kule karibia na wanapoweka kuni........

TF nipe paragraph ya mistari saba au zaidi naombaa teh teh teh lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…