mmh ,nakumbuka wakati bro wangu anamvalisha pete wifi,dah,nilimuona kama wote walikuwa wamebadilika na rangi maan kila mmoja alikuwa na yake kichwan,huyu anafikiria akisema will you atajibiwa nini na huyu mwingine hajui mwenzake atamwambia,
guec wat sasa kilitokea,wifi alianguka baada ya bro kumwambia will u na bro alivyona nilimuona kama alichanganyikiwa,then kimya kilitawala kama 30mins hivi fikiria hapo sasa mapigo ya moyo yalivyokuwa yanabadilika................mpaka alipojibiwa yes,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,machozi yakamtoka ............................
sijui kwangu ningefanyaje coz bado