bandeko na ngai (ndugu wapendwa) hii ya kupiga magoti na mambo ya will u mare mi mmmhhh ni kali sana,binafsi ndoa zangu zote mbili sikuwahi kufanya hii maneno,all i did nikisha ku mind mzee wako atashtukia mzee mwenzake anatinga kwake na kreti la bia.Kisha binti ataitwa na kuulizwa 'je unamfahamu Bishanga Abashaija?' akiitika ndio anaulizwa 'uko tayari akuoe?' akiitika ndiyo biashara kushne Bishanga ndo nshampata mrs Bishanga.Haya mambo yenu ya maua na kupiga magoti mi siyawezi bana,kwanza du nishai kupiga magoti.