The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
BW si at least unamwambia mtu hayo maneno yule ambaye uko nae tayari kwenye mahusiano maana kama hauna sijui utaanzia wapihapo kwenye blue pana ukweli TF ................au sio wakwumwambia will u ......
Rocky hata huyo bata wa kumchunguza bora angekuwepo basi ningeweza hata kusema chochote hapa
Kule mafichoni mlikokwenda na jamaa (watu wakasema eti alikuwa Mbu) kipindi kile nahisi mkienda tena, yatajitokeza hayo! Take my words!!!
Kwanza there is no silly question, just silly answers.
Mi nilialikwa na mpenzi wangu kwake, nikawahi kufika. nikaanza kunywa wine aliandaa (red) as anaendelea kupika. tulivo fika juu ya meza I was too drunk kuelewa kinacho endelea so akaamua anirudishe home. ila kesho yake aliamkia saa 11, akaingia hadi chumbani. nilishtuka sana nikadhani kuna shida. akakaa next to me (na mimi nilikua nimesha kaa) alafu akanambia alikua na neno la kusema toka jana ila aliona nilikua sina hali ya kuelewa vizuri.
then akasema anahisi I bring a new dimention to his life na anapenda the way I look when I wake up na maneno mengine mengi ya uongo na ya kweli. Kwa vile tulikua tunatoka katika mzozano wa nguvu nikajua tu ataishia kusema "but I think we should break up" so nikaanza kusema : hata mimi nahisi hivo na please give us another change to make it right.
hapo ndipo alipiga goti, akanishika mkono wa left na akasema: XXX, would you stay with me forever? as my wife?
Haki nikalia straight. It was such a relieve!!! mengine nitakwambia kesho. hapa nakumbuka I feel all emotional again...
Hivi zile siku tatu za SRM zilikuwaje? au story iliishia kati? Ngoja nikaiangalie
Kule mafichoni mlikokwenda na jamaa (watu wakasema eti alikuwa Mbu) kipindi kile nahisi mkienda tena, yatajitokeza hayo! Take my words!!!
Ooops! Bora umenikumbusha. Exactly, zilikuwa siku 3 za SRM...Zikitokea tena, lazima MJ1 atarudi analia machozi ya furaha hapa JF!!
Yaani AD nilichoeleza hapo juu was just my part
It was out of nothing niliaandaa kiparty bila yeye kujua somewhere out of our usual place
Nikawaambia washkaji zangu na ndugu wale wa karibu kuwa i want to engage my girl ambaye wote walikuwa wanamjua
Before nilikuwa nishamfanyia suprise nyingine maana nilimnunulia nguo moja nzuri sana aliyokuwa anaipenda na anaitamani kwa mjuda mrefu
Ni nguo ya outing za usiku so nikamuomba that day kuwa nitaomba nitoke naye akiwa amevalia that dress i bought for hre twende dinner mahali
She accepted and we drive to that place and out of blue a table was prepared for us na it was just two of us as per arrangement. Baada ya kama nusu saa tukiwa tunapata wine walianza kuja marafiki mmoja baada ya mwingine then my ndugu then the place (was just in a special place in a hotel ) full and walianza kupata kinywaji wakati wanasubiri na story zikiwa zinaendelea
Kwake ilikuwa suprise akauliza what is going on nikamwambia i don know maana niliaarange hii just me and u ila nashangaa watu wametoka wapi
Bado akiwa kwenye mshangao nilitoka kwenye kiti nilichokuwa nimekaa nikapiga goti langu na in her suprise i ask her to marry me
After a long breath and quiteness of the place and every one looking at her alitoa chozi (sijui la furaha au mshangao) then she said YES and alinishika mkono kuninyanyua pale chini and lile furushi la maua lililoandaliwa lililetwa kwake
You know what happen next was hug and kissing and wow ........ so nice one nikikumbuka
That is my story AD
mmh ,nakumbuka wakati bro wangu anamvalisha pete wifi,dah,nilimuona kama wote walikuwa wamebadilika na rangi maan kila mmoja alikuwa na yake kichwan,huyu anafikiria akisema will you atajibiwa nini na huyu mwingine hajui mwenzake atamwambia,
guec wat sasa kilitokea,wifi alianguka baada ya bro kumwambia will u na bro alivyona nilimuona kama alichanganyikiwa,then kimya kilitawala kama 30mins hivi fikiria hapo sasa mapigo ya moyo yalivyokuwa yanabadilika................mpaka alipojibiwa yes,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,machozi yakamtoka ............................
sijui kwangu ningefanyaje coz bado
Sijui kwake ilikuwa ni concidence au ni alama flani but kuna rafiki yangu nimediscuss naye hii mada akanambia yeye zake alivishwa wakiwa watupu (alishawahi kuvikwa na wawili) na wote wakaomtenda. Sasa sijui hawa wanaofanya kwa siri huwa wanakuwa wanajua kuwa hawana uhakika au vipi lol. Huyu wa tatu amemvikia kanisani, siku ya fellowship. I hope italast.
Hivi bado hajajitokeza wa kunitunuku kikongwe mie?? we AD, kwani hairuhusiwi mie kupiga goti?! nachoka kusubiri mjue!
AD hii topic not silly question kabisa....
Roulette i like your experiences with your Man, it seems you
have so much fun.... na ni dhahiri there is so much love btn you guys....
Mungu awajaalie forever you be....
Rocky hapa kweli wamekuweza.....lol... wewe mbishi saana kutaoa maelezo behind the scene....lol... Naona The Finest in conjuaction na AD wamekuweza kweli kweli.... (Umenifanya nimkumbuke wa no love returned)... I Love your experience.... Regards to your beautiful family....
Halafu wewe umemuacha vipi AshaDii akakimbia bila kusema ya kwakeduhhhh
kulikuwa na makubaliano hapa ...
nnatakiwa nimbane TF mpaka aseme yake pia....lol..
Zam zam ...
Halafu wewe umemuacha vipi AshaDii akakimbia bila kusema ya kwake