The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Ya kwangu nasubiri niifanye copyright kabla ya kusema lolhahahahah
mbona nimesha muuliza hapo juu
Asiporudi itabidi nimfuate Chumbani..
sasa wewe wazidi jiongezea kesi akisema yake..
atakubana zaidi na wewe.. Bora useme tu sasa..
hahahah lol 🙂
Eh....umelichokoa eh we Askofu unatoaje siri ya maungamo yangu hadharani??Hivi zile siku tatu za SRM zilikuwaje? au story iliishia kati? Ngoja nikaiangalie
Lol................. hahahahha Masaki, hata wewe pia wangeuka?! unantaka niseme eh? we haya tu unaniharibia suprise na excitement ujue.Kule mafichoni mlikokwenda na jamaa (watu wakasema eti alikuwa Mbu) kipindi kile nahisi mkienda tena, yatajitokeza hayo! Take my words!!!
Ooops! Bora umenikumbusha. Exactly, zilikuwa siku 3 za SRM...Zikitokea tena, lazima MJ1 atarudi analia machozi ya furaha hapa JF!!
Siongezi neno ngona mkuu Mr. Rock aje...
duuhh ngoja nkachungulie kule kwenye R.u.g.b.y lol
sjaweka updates hahahah ..
Rocky hapa kweli wamekuweza.....lol... wewe mbishi saana kutaoa maelezo behind the scene....lol... Naona The Finest in conjuaction na AD wamekuweza kweli kweli.... (Umenifanya nimkumbuke wa no love returned)... I Love your experience.... Regards to your beautiful family....[/QUOTE
AshaDii wamaeniweza kwel;i na sijui AD kanipa dawa gani mpaka nikatoa hii story
Thank you AShaDii for your compliment na tunataka TF naye aje hapa atoe ya kwake sio anajificha ficha tuu
bandeko na ngai (ndugu wapendwa) hii ya kupiga magoti na mambo ya will u mare mi mmmhhh ni kali sana,binafsi ndoa zangu zote mbili sikuwahi kufanya hii maneno,all i did nikisha ku mind mzee wako atashtukia mzee mwenzake anatinga kwake na kreti la bia.Kisha binti ataitwa na kuulizwa 'je unamfahamu Bishanga Abashaija?' akiitika ndio anaulizwa 'uko tayari akuoe?' akiitika ndiyo biashara kushne Bishanga ndo nshampata mrs Bishanga.Haya mambo yenu ya maua na kupiga magoti mi siyawezi bana,kwanza du nishai kupiga magoti.
Hapo mtu si atasema "YES" hata kama jibu lilikuwa "NO"
...ndio ilivyo,...---"Soulmate,...will you marry me?" ---kabla jua halijazama, ---wawili sie na nature ilio shahidi...
haya mambo ya hadharani ni ku mark territory aka kulinda pendo, mfano wa ile pete niliyomtunuku mwanajamiione kwa sredi ya aspirin https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/145817-ulikuwa-wapi-siku-zote-eh.html ...angesema NO! hadharani nisingemlaumu...lol...
Kwetu mzee wako (omushelezi) ndo anawekewa mkeka anapiga magoti na kuomba mke,mathalan inshallah siku mwanangu anaoa hapo kweli sina ujanja nitajikunja mbele ya mzazi mwenzangu na kuomba mwanangu azaliwe katika nyumba yake,lakini kumpigia goti mwanamke eti naomba nimuoe,no way!!!!hahahaha Bishanga umelnivunja mbavu
mambo gani ya mzee kutinga na krate bana
unaenda mwenyewe mzee mzima kuomba huku umepiga goti na utegemee jibu la ndio au hapana au may be
Kwetu mzee wako (omushelezi) ndo anawekewa mkeka anapiga magoti na kuomba mke,mathalan inshallah siku mwanangu anaoa hapo kweli sina ujanja nitajikunja mbele ya mzazi mwenzangu na kuomba mwanangu azaliwe katika nyumba yake,lakini kumpigia goti mwanamke eti naomba nimuoe,no way!!!!
Ngoja ce vikongwe 2lopgana vita kuu ya kwanza ya dunia 2kae mbali maana haya mambo ya cku hz ha2yajui kabisa.
Haya bana kwa raha zenu lakini count me out!!!BIshanga Bashaija nimesahau kuwa huko kwenu kumpigia mwanamke goti ni sawa na kuwa umejishusha na hadhi ya uanaume wako inapungua
Ila mkuu huku kwetu ni kawaida tuu na hivyo beijing ishatawala hakuna kuogopa kuligonga hilo goti chini tena ukiwa umeangalia chini na kapete kako unamuomba binti akukubalie umuoe
hahaahahahah lol
asantee..
kichwa cha thread kinatakiwa kiwe kina karibisha au kuita ..
si lazima kiendane na topic papo hapo kisiwe nje ya topic...
" attention" tu hakuna kingine...
asante sana mwaya..
sasa utanidokeza yako ilikuwaje??
duhhhh
kulikuwa na makubaliano hapa ...
nnatakiwa nimbane TF mpaka aseme yake pia....lol..
Zam zam ...
AshaDii wamaeniweza kwel;i na sijui AD kanipa dawa gani mpaka nikatoa hii story
Thank you AShaDii for your compliment na tunataka TF naye aje hapa atoe ya kwake sio anajificha ficha tuu
Halafu wewe umemuacha vipi AshaDii akakimbia bila kusema ya kwake
AD na Rocky mnaniangusha!! Hamjambana PA vya kutosha!! Mpaka kieleweke jamani... yeye mchokuvu kama nini.....lol
Ngoja nikumbuke kama nilikuwepoNdoa yangu ya pili is worth hearing.... na wewe ni shahidi ulikuwepo.... kasome upya post yako ya kwanza katika hii thread... siku ile ilikua mara ya tatu ndo maana alikua ana tetema.....lol... maana za kwanza zooote nilimtolea nje!
in other words mlifanya trial marriage kwanza kabla ya kutumbukia wazima wazima? it was'nt a bad idea maana majuto ni mjukuu!AD yangu ilikua ya kienyeji... wala nisikudanganye dear....
Mimba kwanza propasal badae....lolz