Tetesi: Simalenga alipanga kumtoa Heri UVCCM

Kabisa bro na amekua kiunganishi kikubwa sana kutafuta mahojiano ya viongozi wakubwa iwe serikalini na nje ya serikali hasa viongozi wa kitaifa na vyama,na amesoma sana tu na hata wakati akiwa Kaole ndo alikua kiongozi pale.
Je mbali na kaole ajawahi kufanya kazi ITV?
 
 
Yaani watu walio fail Maisha kwenye uigizaji Kaole ndio wamekuja kujistiri UVCCM na kuwa eti ndio Sehemu ya Think Tank ya nchi.
Eeeeh Mola uturehemu kama nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…