Tetesi: Simalenga alipanga kumtoa Heri UVCCM

Watu wako field kutafuta kura nyie mnakuja na porojo
Kabisa yaani,watu wako field wanatafuta kura na hiyo picha wametambulishwa bungeni kama kamati maalumu ya AMINIA 255 na Simalenga ndo mwenyekiti na hao watu wako kwenye Midia kubwa sana kwa ajili kutafuta kura kuanzia serikali za mitaa nyuma ya Aminia Tanzania
 
Simalenga ni Mkurugenzi wa mahusiano na Itifaki pale Clouds media......yaani ni boss wa akina Ngoma hana njaa kabisa huyo anavuta takribani 8.5mil per month!
Kabisa bro na amekua kiunganishi kikubwa sana kutafuta mahojiano ya viongozi wakubwa iwe serikalini na nje ya serikali hasa viongozi wa kitaifa na vyama,na amesoma sana tu na hata wakati akiwa Kaole ndo alikua kiongozi pale.
 
Kaole alikuwa anaitwa Dimela aka Mr. Dimela, Metu ni jamaa mwingine tu..

Sikufahamu kama jamaa ni UVCCM, maana kwenye page zake alikua anasifia teuzi za watu nk bila kujionesha kuwa ni UVCCM
Sio kua ni uvccm hapana ila ni kiongozi ndani ya lumumba pale na mfanyakazi clouds kama mkuu wa mahusiano na itifaki,Pale kaole Mr Dimela lilikua jina la uigizaji tu.
 
Hivi unadhani salary ya 8.5M per month ni sawa na kwenda msalani?? Hiyo ni pesa ndefu sana kwa Mawingu, Acha kukalili maneno ya vijiweni
Kwa mawingu huo ni mshahara mdogo sana ndugu.Ogopa kabisa kuhusu mawingu na mishahara ya wafanyakazi wake pale,mfano mdogo tu nikupatie,unaijua choicefm ni radio ndani clouds midia group amewai kuojiwa gigy money wakati ameajiriwa pale choice na akiwa bado hajawa star alikua akilipwa milion 1.5 sasa kwa viongozi na watangazaji wakubwa clouds unadhani wanalipwa madafu
 
Simalenga ni Mkurugenzi wa mahusiano na Itifaki pale Clouds media......yaani ni boss wa akina Ngoma hana njaa kabisa huyo anavuta takribani 8.5mil per month!
Mbona haakisi hiyo figure kudandia madaladala pale mbezi Luis
 
Kwanza kwa mishahara pale clouds hiyo milon 8.5 ni salary ya kawaida tu

Mkuu katafute wajinga uwaongopee!

hakuna mshahara kama huo kwenye biashara ya Media hasa Redio na TV.

Na ukitaka kujua hili tafuta interview ya Vannessa akisimulia maisha yake ya Redio kuanzia Bongo mpaka South na hata ya usanii ni njaa tu hakuna hiyo hela.
 
Muziki unalipa zaidi ya utangazaji lkn hawezi kuwa na malipo ya chini hata hizo figure zinawezekana tu,Vanessa alikua anatangaza choice fm na part time MTV. watangazaji wa radio kubwa kama clouds mtu kua milion 8.5 kawaida tu.sema tunapenda kulinganisha na viredio vinayoaanza
 
Katafute wa kuwadanganya,,,,,,,,,,,anawaingizia kiasi gani Clouds kwa mwezi hadi apewe mshahara huo??
 
Kwanza kwa mishahara pale clouds hiyo milon 8.5 ni salary ya kawaida tu
Ha ha ha ha... Kaka mbona unakua muongo namna hii?? Hakuna kitu kama hicho Salary ya 8.5M per Month kwa media kama Mawingi haiwezekani...
 
Acha wafu wazikane wao kwa wao, dhambi ya ubaguzi waliyoianza ccm sasa lazima iwatafune wao.
 
Kumbe UVCCM imevunjwa 2months ago na Meko mlitaka kumpindua Heri! Ndo maana kumetulia sana humu maana mmefukuzwa Lumumba.

Ndugu yangu Simalenga naona umetimuliwa Lumumba ndiyo maana sikuoni hapa Falcon kwenye supu. Mlikuwa na kelele sana UVCCM tulieni sasa!

Naona mmeamua kuja na Aminia255

Simalenga bwana.. Meko kasema hataki UVCCM maana mnaleta migogoro kwenye chama.

Heri na wewe kumbe umepigwa marufuku kuhudhuria vikao vya kamati kuu?

Tulieni sasa maana mlikuwa na kelele sana humu. Haya bosi alikuwa anawapa hela ya bando Simalenga kafukuzwa Lumumba. Mtaelewa tu kidogo kidogo.

#Kigogo2014

View attachment 1204988
[emoji23][emoji23][emoji23]ila bongo bwana kuna wajinga sana
 
Kwa mawingu huo ni mshahara mdogo sana ndugu.Ogopa kabisa kuhusu mawingu na mishahara ya wafanyakazi wake pale,mfano mdogo tu nikupatie,unaijua choicefm ni radio ndani clouds midia group amewai kuojiwa gigy money wakati ameajiriwa pale choice na akiwa bado hajawa star alikua akilipwa milion 1.5 sasa kwa viongozi na watangazaji wakubwa clouds unadhani wanalipwa madafu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Muziki unalipa zaidi ya utangazaji lkn hawezi kuwa na malipo ya chini hata hizo figure zinawezekana tu,Vanessa alikua anatangaza choice fm na part time MTV. watangazaji wa radio kubwa kama clouds mtu kua milion 8.5 kawaida tu.sema tunapenda kulinganisha na viredio vinayoaanza

Narudia tafuta watoto hakuna kitu kama hiko, humu GT huwezi ongopea mtu.
 
Muziki unalipa zaidi ya utangazaji lkn hawezi kuwa na malipo ya chini hata hizo figure zinawezekana tu,Vanessa alikua anatangaza choice fm na part time MTV. watangazaji wa radio kubwa kama clouds mtu kua milion 8.5 kawaida tu.sema tunapenda kulinganisha na viredio vinayoaanza

Uongo umezaliwa nao au umejifunza tu.. Hivi ukiwa muongo unapata nn kwa issue kama hii?
 
Kumbe UVCCM imevunjwa 2months ago na Meko mlitaka kumpindua Heri! Ndo maana kumetulia sana humu maana mmefukuzwa Lumumba.

Ndugu yangu Simalenga naona umetimuliwa Lumumba ndiyo maana sikuoni hapa Falcon kwenye supu. Mlikuwa na kelele sana UVCCM tulieni sasa!

Naona mmeamua kuja na Aminia255

Simalenga bwana.. Meko kasema hataki UVCCM maana mnaleta migogoro kwenye chama.

Heri na wewe kumbe umepigwa marufuku kuhudhuria vikao vya kamati kuu?

Tulieni sasa maana mlikuwa na kelele sana humu. Haya bosi alikuwa anawapa hela ya bando Simalenga kafukuzwa Lumumba. Mtaelewa tu kidogo kidogo.

#Kigogo2014

View attachment 1204988
Eeeeeh bwana ndio maana kuna uzi wa xspy kule sijawaona kutia team kumbe habari ndio hiyo.
 
Back
Top Bottom