Tetesi: Simalenga alipanga kumtoa Heri UVCCM

Tetesi: Simalenga alipanga kumtoa Heri UVCCM

Hivi unadhani salary ya 8.5M per month ni sawa na kwenda msalani?? Hiyo ni pesa ndefu sana kwa Mawingu, Acha kukalili maneno ya vijiweni
Hii ndio mishahara inayotajwa vijiweni.

Hahahahhaaaa.

Nilishawahi kupewa mil 7per month kwa maneno ya vijiweni wakati huo mi nalipwa 3.5M tu, lakini vijana wa mitaa wanaona kama nalipwa 7M.
 
Kama anavunja katiba ya nchi atashindwa katiba ya chama?
Huwezi kuvunja uvccm ipo kikatiba
Watu wanafanyakazi sio maneno maneno,subirini uchaguzi wa mitaa ndipo mtajua kama uvccm imevunjwa
 
Simon Simalenga ndo huyo mwenye suti nyeusi kulia. Alikua mwigizaji wa Kaole na akina Muhogo Mchungu, miaka hiyo akiitwa "Metu". Baadae akaajiriwa na ile redio maarufu aliyovamia Bashite.

Sina uhakika kama bado yuko kwenye redio hiyo mpaka leo! By the way umri wake sio wa kuwa UVCCM.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani ww haujielewi kabisa toka lini simalenga akawa UVCCM?? Simalenga ni mwananchama wa chama cha mapinduzi,ni mfanyakazi wa kampuni ya clouds midia group kama mkuu wa mahusiano na itifaki pale clouds.Na kabla ya hapo miaka kadhaa iliyopita alikua Kaole sanaa group
 
Miezi miwili iliyopita
Hakuna kitu kama hicho ni uongo mkubwa hiyo picha ni juzi simalenga na wenzake wakiwa bungeni na walitambulishwa kama wajumbe wa kamati ya AMINIA tanzania na simalenga ndo mwenyekiti
 
Simon Simalenga ndo huyo mwenye suti nyeusi kulia. Alikua mwigizaji wa Kaole na akina Muhogo Mchungu, miaka hiyo akiitwa "Metu". Baadae akaajiriwa na ile redio maarufu aliyovamia Bashite.

Sina uhakika kama bado yuko kwenye redio hiyo mpaka leo! By the way umri wake sio wa kuwa UVCCM.
Ndo yeye kabisa mpaka sasa kuanzia Kaole sanaa group mpaka leo hauwezi kua UVCCM ni majungu makubwa,Ila bado yuko clouds midia group kama mkuu wa mahusiano na itifaki pale clouds na ndo uwaga anapokea viongozi wakubwa wanapokwenda clouds kwa ajili ya mahojiano kama mnakumbuka siku anahojiwa maalim pale clouds yeye ndo alimpokea
 
Back
Top Bottom