Simama imara kijana katika maisha

Simama imara kijana katika maisha

zoomantz

Member
Joined
Mar 24, 2017
Posts
54
Reaction score
42
Kama upo sirias na unahitaji kuwekeza ili uweze kukuza uchumi wako, tafadhali naomba niambie ili nikupe mbinu znazonifanya kila siku nizidi kuwa bora zaidi kiuchumi, nipo tayari kukusaidia kimtazamo, na mbinu za kukuza mtaji au kipato chako kwa umakini zaidi kwa mfumo sahihi ,tukiwa kama vijana, tuliokusudia kukuza maendeleo yetu kupitia mikondo tofauti tofaut ya kuongeza kipato.

Using'ang'anie mshahara tu, au biashara moja tu ambayo umeizoea , utaona mambo hayasongi mbele kwa wakati. Hebu ongeza mkondo mwingine wa kipato na ubadilishane mawazo na watu tofauti wenye malengo ya kufanikiwa, hakika utaona mabadiliko makubwa sana katika uchumi wako.

Tusiishie kuilaum serikali hebu tuangalie ubunifu na mbinu sahihi za kutufanikishia malengo yetu. Niambie kama upo tayari nikusaidie,,,,mbinu ya kukuza mtaji wako uweze kuwekeza zaidi, uskariri maisha,,, vijana makin tunasonga mbele sasa kwa nin wew usubir kesho ambayo hauijui?
 
Tapeli, vijana wenye nia na malengo ya kufanikiwa njia moja wapo ni "ushirikiano" na "mshikamano" kuwa na "umoja" hivyo basi mtoa mada ungepaswa kuweka hapa Jf kila kitu kiwe wazi na sio what's app tu, mpaka hapo tunagundua hujaleta mchango wowote kwa kijana / vijana wenye matamanio ya kufanikiwa,

[emoji16] [emoji51] [emoji119] [emoji119]
Shuba the meet.
 
aah wapi biashara za kuitana inbox za kazi gani, inaonesha hujiamini na unachokifanya...
Afu mi hiyo biashara siiwezi make inahitaji uwe na uwezo wa kujitoa ufahamu, ujifanye fyatu flani hivi
Eti biashara huwezi....
[emoji1] [emoji3] [emoji119] [emoji119]
 
Nimewahi kuhudhuria semina ya hawa watu sijui Trevo sijui madude gani, mara utaingiza milion Mbili kwa wiki na kutembelea gari zuri, ikabidi nisubilie mpka mwisho wa semina nione hayo magari mazur wanayoyazungumzia, lahaulaaaa nashangaa tunapigana vikumbo kwenye daladala za mbagara rangi 3, nikachoka
 
aah wapi biashara za kuitana inbox za kazi gani, inaonesha hujiamini na unachokifanya...
Afu mi hiyo biashara siiwezi make inahitaji uwe na uwezo wa kujitoa ufahamu, ujifanye fyatu flani hivi
Ha ha ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom