Simanzi imetanda mke amkimbia mume wake wa miaka 10!

Simanzi imetanda mke amkimbia mume wake wa miaka 10!

Si-huwaga mna tushauri kuwa tuoe Ili tupate wenza wa kutu tunza maishani na Wa wakutuuguza hata pale tunapo patwa na maradhi , so imekuaje tena [emoji16][emoji16][emoji16][emoji22][emoji22]
 
Wanawake nuksii Baba yangu mkubwa kakimbiwa na mkewe na wanawatoto wakubwa tu ila mwanamke kasepa
[emoji16][emoji16][emoji16] tukiwa ambia msioe hamuelewi
 
Hali imekuwa si shwari baada ya Selina kumkimbia mume wake waliyedumu nae kwenye ndoa miaka 10. Mr Rogers alikuwa ni mfanyabiashara hapo Kariakoo kisha kumuachia mke wake duka aendelee kulisimamia na yeye kuanza kusafiri mikoani kununua mazao kuyaleta Dar es salaam.

Basi Mungu aliwajalia hela kweli ila sasa miaka 2 nyuma Mr Rogers alipata ajali na amekuwa mtu wa kukaa tu kitandani, sasa mke kamkimbia kabeba hela zote benki na alipo hajulikani. Ila hivi majuzi zimekuja ripoti kuwa alipata ajali ya pikipiki na yupo hospital Bugando mahututi.

Sasa Mr Rogers anataka mke wake akipata nafuu kama lakini, arudi nyumbani waendelee kuishi. Is this fair at all, wanawake acheni tamaa jueni mali zote mtaziacha huku duniani!
Tamaa mbaysa
 
Back
Top Bottom