Simanzi nzito bado imeiandama familia ya Mzee Ali Kibao, Faraja ya Heche na Mnyika yawaongezea nguvu

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Juni 1, 2025, baada ya mkutano wa hadhara Tanga Mjini, viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara John Heche, na Katibu Mkuu John Mnyika wametembelea nyumbani kwa Mzee Ali Mohammed Kibao kwa ajili ya kusalimia familia.

Mzee Ali Mohammed Kibao, aliyekuwa kada wa chama hicho alikutwa ameuawa na kutupwa eneo la Ununio Jijini Dar es Salaam mwezi Septemba mwaka 2024 baada ya kutekwa kwenye basi kipindi akiwa safirini kuelekea mkoani Tanga.

RIP Mzee Kibao, ila mimi mpaka leo najiuliza hivi hawa wanaoua watu na kuteka watu hovyo hovyo hivi kweli ni TISS wa Tanzania?? Kama ni wao basi wanafeli sana. Serikali zote duniani zinawabana watu wakorofi kwa kuwaua inapobidi lakini sio kwa staili hii ya kijinga kabisa. Kuna mbinu nyingi ambazo watu wa kawaida mpaka kutambua hio kazi imefanywa na CIA, KGB, MI6 etc ni vigumu sana. TISS ya bongo inafanya kazi kama vibaka wa vingunguti hatari sana.
 
View attachment 3353255
Mungu awatie nguvu sana
 
RIP Mzee Kibao, ila mimi mpaka leo najiuliza hivi hawa wanaoua watu na kuteka watu hovyo hovyo hivi kweli ni TISS wa Tanzania?? Kama ni wao basi wanafeli sana. Serikali zote duniani zinawabana watu wakorofi kwa kuwaua inapobidi lakini sio kwa staili hii ya kijinga kabisa. Kuna mbinu nyingi ambazo watu wa kawaida mpaka kutambua hio kazi imefanywa na CIA, KGB, MI6 etc ni vigumu sana. TISS ya bongo inafanya kazi kama vibaka wa vingunguti hatari sana.
Sio Tisi ni PiTii
 
Watu makatili wenye roho mbaya sana wakam-Khashoggi mzee wa watu. Walaaniwe popote pale walipo.
 
Back
Top Bottom