Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Sakho alitaka kupiga goli kama la Bwalya ila mpira umeenda nje ya lango
 
Kagere vipi mzinguaji anarukaruka tu uwanjani. Anasubiri mpira ufuke miguuni
 
Shomari KAPOMBE afundishwe kupiga krosi za kiufundi...
 
Kwenye game ya dizain hii huwez kumuona Kagere mara kwa mara
 
Simba atuna namba tisa mmaliziaji wa maana waliopo wote mitumba.
 
Na kibu mpira ukishampita hana time ya kuutafuta tena, huwa anawaachia walio mbele washughulike nao
 
Back
Top Bottom