Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Huyu jamaa akitoka hapa awndw migration akachukue pasaport yake, kabila tushamtafutia tayari
 
kocha inabidi atafute namna Azam pale nyuma wamekuwa wagumu leo hawaruhusi Simba kukaa muda mrefu kwenye fainal third yao kabisa wana haribu mipango mapema
 
Back
Top Bottom