Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
AlmanusuraSakhooooi
Hivi kagere yumo?Kagere anazingua sana
utoRais anakenua meno tu, hivi ni mshabiki wa team gani?
Lile shuti lilikuwa hatari sananimeogopa
Atakuwa anamuangalia sakho tuRais anakenua meno tu, hivi ni mshabiki wa team gani?
Team yake ishatokaga kitamboRais anakenua meno tu, hivi ni mshabiki wa team gani?
Amekuja kuroga team yetu tushindwe? ila hawezi fanya lolote simba sio washirikina bali tu watandaza kabumbu wa ukweli 😀