watu wanashangilia nikajua kituAhsante Sakho ila acha kucheza na mashabiki wakat huu team inataka goal [emoji1624]
Anacheza mpira lainii sana.Huyu Ajib, kazi anayo leo
Ilo kabila lisiwe la mchaga ataacha mpira akafanye magendo.Huyu jamaa akitoka hapa awndw migration akachukue pasaport yake, kabila tushamtafutia tayari