Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Kwa faida ya wengi,

shangilia ya leo ya Meddie Kagere inafanana sana na ile ya Rashid Yekini wa Nigeria katika Kombe la Dunia mwaka 1994

EA85808B-4878-4077-83BC-EF884B73BC96.jpeg


E0A680DF-9FCA-48FD-B82A-612762A1CD3F.jpeg
 
Golikipa bora Wa mashindano Anapewa Milion 1

Mchezaji Bora wa Mechi Anapewa Milioni 2

Mfungaji Bora Milioni 1

Sakho Mchezaji Bora wa Mashindano anapewa Milioni 1

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hizi Hela nani alikuwa anapanga?
 
Naona Azam wameamua kwenda kufunguka biashara ya jersey za Simba[emoji23]
 
Walicheza hivihivi na Yanga. Wakamuumiza Feisal na hata Zawadi Mauya. Mkawasifu sana
Hii mechi azam wamecheza foul mbaya sana mpaka nikahisi ni mapigano naangalia usiku wa vitasa
 
Back
Top Bottom