OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Timu haijawahi kufungwa goli lolote 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba Ni SimbaHata kama ungekuwa wewe ungempa nani?
Halafu utasikia, Thimba ina mabeki wajeeeeee, uto bwana.Timu haijawahi kufungwa goli lolote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena refa kafanya fair lkn ilibidi hadi kipa ale umeme,, hii football sio kung fu,, au karate zimo mpaka useme nimebebwa🤫🤫🤫🤫🤫🤫 Hivi we umepata wap furaha ya kushangilia wakati umebebwa kama mzigooooo
Kunywa majiTupunguzieni kelele bs
kwenye mbio za ubingwa wameshachelewa. wamefungwa mechi nyingiIla azam wameimarika sana
Haitoki hata 10 hapo, ikipotea hela atakula alikoipeleka.Mkude na Morrison hizi hela hazitafika zote salama tayari mkude kaficha kibunda kwenye pumbu. [emoji23][emoji23]