Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Golikipa bora Wa mashindano Anapewa Milion 1

Mchezaji Bora wa Mechi Anapewa Milioni 2

Mfungaji Bora Milioni 1

Sakho Mchezaji Bora wa Mashindano anapewa Milioni 1

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hizi Hela nani alikuwa anapanga?
 
Naona Azam wameamua kwenda kufunguka biashara ya jersey za Simba[emoji23]
 
Walicheza hivihivi na Yanga. Wakamuumiza Feisal na hata Zawadi Mauya. Mkawasifu sana
Hii mechi azam wamecheza foul mbaya sana mpaka nikahisi ni mapigano naangalia usiku wa vitasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…