Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
Inaitwa Shots woodworkHivi mpira ukigonga mwamba sio short on target?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaitwa Shots woodworkHivi mpira ukigonga mwamba sio short on target?
Ametumaliza kabisa, Kibu hana uwezo maana kama ni nafasi kapewa sana ila hakuna improvement yoyote.Aliyependekeza usajili wa Kibu alitakiwa awe jela ya kilimo.
Ni mzigo ndani ya pitch.Ametumaliza kabisa, kibu hana uwezo maana kama ni nafasi kapewa sana ila hakuna improvement yoyote.
Baba Kumbuka Simba Imetoka Kumnyuka Azam Tar 1 Mwaka mpya.... Sasa lazima naye aje na Kisasi...Lakini hapa hamalizi ninety minutes.Simba hatujacheza vizuriii kabisaaa
Bwalya OUT, Mzamiru IN, Kibu OUT, Morisson IN. Kocha akifanya hivyo timu itaongeza kasi ya mashambulizi lakini kwa kumtegemea Bob Marley (Kibu) au Bwalya wafanye maajabu hapo kazi ni ngumu kweli kweli.
Bora wewe umeliona ilo watu wanalaumu utafikiri tunacheza na yanga princess.Azam kaziba mianya hasa pembenikocha inabidi atafute namna Azam pale nyuma wamekuwa wagumu leo hawaruhusi Simba kukaa muda mrefu kwenye fainal third yao kabisa wana haribu mipango mapema