Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Nawaheshimu sana Rasta family, ila Kibu anataka kuniletea dhambi ya kuwadharau..

Mnyoeni hizo nywele tafadhali.
 
Mnyamaaaaaaaaaaaa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
hongereni Azam kwa game nzuri tukutane NBC kwa game kama hili la leo

NGUVU MOJAAAAA [emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
 
Back
Top Bottom