Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
 
hongereni Azam kwa game nzuri tukutane NBC kwa game kama hili la leo

NGUVU MOJAAAAA [emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
Tatizo wakifika Ligi wanakuwa na morali ya chini sana, hivi wapige pira kama hili Ligi kuu am sure watamaliza wa pili.
 
Lawama ziende kwa Mathias kigonya, amefanga utoto wa hali ya juu sana.
 
Back
Top Bottom