Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

bocco ni mzuri mipira ya juu. prison mabeki wafupi
 
Mipira ya kati bado wanaipa dhamana tu
 
Bwalyaaaaa.....ni offtarget
 
Kuna tatizo kubwa hapo benchi la ufundi, yaani upangaji wa kikosi ni tatizo kubwa, yaani pamoja na kuwa sina taaluma ya ukocha lakini naweza kuona mapungufu makubwa kuliko hao makocha
😬😬😬 Dah! Unaweza kutuwekea hata kikosi chako cha mfano? Mbona kikosi kilicho anza hakina shida yoyote ile!

Unadhani mchezaji gani muhimu ameachwa nje, ili tuwasiliane faster na mwalimu Matola amuingize haraka iwezekanavyo! Maana liwake jua, inyeshe! Ushindi leo ni lazima.
 
Tatizo la mpira wa Simba sioni kama ni wachezaji. Ukiona timu haipo coordinated shida ni kocha na mfumo wake.
 
Kuna tatizo kubwa hapo benchi la ufundi, yaani upangaji wa kikosi ni tatizo kubwa, yaani pamoja na kuwa sina taaluma ya ukocha lakini naweza kuona mapungufu makubwa kuliko hao makocha
Tatizo la Simba sio kupanga kikosi,bali ni Wachezaji washachoka na kuchuja.
 
Sakho kaangushwa na refa kapeta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…