Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
dada zamani ulikuwa moderate fan, ila siku hizi umejiunga na mashabiki wanaoteseka 😁😁😁Itakuwa afadhali mana bila hivyo tutadhalilika Mkuu na mwisho wa siku ile gap ya points kumi yaweza kuwa mara mbili. Teh teh.