Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Nani amekuambia hakuna viporo? Ligi ya makundi Shirikisho Afrika inaanza siku kumi zijazo
Sasa kwa simba hii, mtakula kiporo cha nani kwa mfano! Kama timu inayoshika mkiani kama Prisons inawatoa jasho! Mkikutana na Barcelona ya Bongo (Ruvu Shootings) si ndiyo itawavuruga kabisa!!
 
Hii game ingependeza kama tungefungwa. Simba hii mbovu bila sababu za msingi. Barbra aone aibu aachie ngazi.
Yani Barbra aachie ngazi halafu kocha mbovu abaki?!

Hivi nyie kweli mashabiki wa Simba? basi Simba itakuwa na plastic fans wengi sana.
 
Kumbe dakika zinaongezwaga kwaajili ya timu kubwa zipate matokeo. Yaani mpira kusimama kote zimeongezwa dakika 3 tu, ingekuwa Simba kafungwa au sare zingeongezwa dakika 8
Zingeongezwa zaidi timu yako ya Prisons ingefungwa goli la pili
 
Hii game ingependeza kama tungefungwa. Simba hii mbovu bila sababu za msingi. Barbra aone aibu aachie ngazi.
Umeona mkuu, tukiongea huu ukweli tunaitwa utopolo, ila ukweli huu mashabiki maandazi hawawezi kuupokea. Ushindi gani huu?
 
Tumeipenda wenyewe, Simba yetu
Hata na sisi miaka ya nyuma tuliimbaga sana aka kawimbo huku mioyoni tunaumia. 🤣
2457158_FB_IMG_15948344390726987.jpg
 
Hahahaaaa. Yaani acha kabisa.

Nyie mmezidi aisee. Yah. Kila mtu ashinde mechi zake.

Alhamdulillah sijambo kabisa best. Naona bado tia maji tia maji. 🤣🤣
Pole sana naona refa kakupoka kicheko chako Leo😂

Nyie ndo mnaongoza Kwa michongo, ohoo mkubwa ni mkubwa tu!!

Ni jambo la kheri Best.

Sisi tuko vizuri ila wanazidi kukamia tu.
 
Back
Top Bottom