Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Aibu naona mimi dah kwamba waandishi ni wamaana sana pale tu tunaposhinda.
Halafu kocha anahojiwa anasema tulikuwa tufunge goli mbili au tatu.

Hahahahaaa. Najiuliza ziko wapi sasa. 🤣🤣
 
Mimi sijafurahia kwa kweli, itaonekana hatushindi mpaka penalt
Wacha ionekane hivyo hivyo nani ana jali?

Halafu hawa azam ndio wanaleta fitna kwa camera zao kuwa chini ya kiwango mpaka kufikia inatokea mtafaruku kama huu

Yani ukiangalia katika angle moja huwezi ukaona ile foul mpaka utumie ile camera iliyokua nyuma ya goli
 
Afadhili tupate Alana tatu hizo habari za michongo watajua wenyewe huko
Ni wivu tu na husda la ile ni penati saafi kabisa sema tu refa kawapendelea prisons kwa kutotoa kadi kwa tukio hilo
 
Sawaaaa hakuna tatizo.

Umejifungia ukajitahidi kusaga kunguni wee lakini wapi!!😂😂

Tutaelewana tu nawasubiri mbeya kwanza nao kama kawaida refa ana goli letu la ushindi.
Uje jumamosi uone vile nakulipia kisasi. 😂
 
Wacha ionekane hivyo hivyo nani ana jali?

Halafu hawa azam ndio wanaleta fitna kwa camera zao kuwa chini ya kiwango mpaka kufikia inatokea mtafaruku kama huu

Yani ukiangalia katika angle moja huwezi ukaona ile foul mpaka utumie ile camera iliyokua nyuma ya goli
Wewe umetumia camera ipi?
 
Mbona kila mtu anaongea lake wana Simba wengine wamehisi ni penati iliyotokana na kushika mpira
 
Hii timu yangu ya Simba tuandae maumivu kwenye match za mikoani

The likes of Prisons kwenye uwanja wa Mkapa tunapata matokeo ya mchongo, tena timu yao haina key players (Asukile Juma, Jeremiah Juma)
 
Back
Top Bottom