Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Yeah ni kweli Ili si mchezo mzuri sana ule Zimbwe awe makiniLakini ilikuwa ni offside
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ni kweli Ili si mchezo mzuri sana ule Zimbwe awe makiniLakini ilikuwa ni offside
Mod ambaye yuko zam leo ni uto
Pablo anatumikia adhabu yakeMatola ndo kasimama kama kocha mkuu?
Ushindi wa sita kwa kale katimu ka ndondo?Chama letu la Simba utulivu bado sana, Nilitegemea baada ya ushindi ule wa goli 6 timu ingeingia na confidence kubwa ila naona mambo bado ni yaleyale
Labda kocha amewaambia wasipige golini.Hapa benchi la ufundi la Simba lijitafakari upya, yaani dakika ya 33 hakuna shoot on target wala off target huku unacheza na timu ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Hapa kazi tunayo