Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Matola ndo kasimama kama kocha mkuu?
 
prisons wakiwa mbele kwa offtarget 2
 
Jamani jamani niliswma hizi counter attacks ndo weakness ya simba

98% ya mechi tulizofungwa zote tumepigwa kwa style hii, simba ina dominate mpira lakini mashambulizi ya hatari yanakuwa yanatuandama sisi
 
Hii simba kwa uchezaji huu walahi itatuongezea vidonda vya tumbo, wanachocheza wakifika eneo la mwisho mbele wanajua wenyewe na kocha wetu. Timu haina hamasa kabisa ya kupambana, wanatumia muda mwingi kuchezea mpira kuliko kucheza mpira wa malengo. Hatuoni mashambulizi yoyote ya maana. Wakifika mbele pasi 700 halafu zote hazina mashiko. Mpaka dakika hii ya 31 hakuna hata off target hata moja kwa Simba, hii inahuzunisha
 
Chama letu la Simba utulivu bado sana, Nilitegemea baada ya ushindi ule wa goli 6 timu ingeingia na confidence kubwa ila naona mambo bado ni yaleyale
 
Sasa naona kuna trend ya refa kupuliza filimbi anapojiskia

Kagere kapora mpira bila foul lakini kapiga filimbi
 
Hapa benchi la ufundi la Simba lijitafakari upya, yaani dakika ya 33 hakuna shoot on target wala off target huku unacheza na timu ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Hapa kazi tunayo
 
Back
Top Bottom