Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inaiwwa anti football..Tatizo ni namna ya kufungua huo ukuta hapo ona watu 9 hadi 10 wote wapo golini Kwa namna hii timu inahitaji ubunifu zaidi
Acha kuwapangia prison namna yakucheza, Hata sisi Simba tulipocheza na Yanga mbona tulikaa nyuma ya mpira mda mwingiSioni ushindi kwa simba hii mechi.prison wamekaa nyuma sijui kwa maelekezo ya nani.kila timu ikicheza na simba inakaa nyuma.na simba hawana mipango kabisa ya kuvunja ngome ya timu za bongo.
Chama hayupo?Simba katikati pale hamna kitu mipira mingi inapotelea hapo
Nasikia mpaka sasa mnaongoza nne kama mechi ya juzi na Darcity.
Hiyo tekiniki ndo inawatesa sana simba msimu maana. Wapinzani wanategemea sana kaunta... Hawa prison by the way wanamsumbuaga sana simba msimu uliopita simba alipata point moja tu alipigwa na kudroo.. Hata Leo simba asipobadili mbinu hali itakua tete zaidiSioni ushindi kwa simba hii mechi.prison wamekaa nyuma sijui kwa maelekezo ya nani.kila timu ikicheza na simba inakaa nyuma.na simba hawana mipango kabisa ya kuvunja ngome ya timu za bongo.
Mbona upo au wanacheza na madela.Hakuna ubunifu
Mbona wapenzi na mashabiki wa Simba mnatuchanganya msimu huu? Wakina Mugalu,Mzamiru wakianza kucheza mnamtukana kocha mkisema hao hawana hadhi ya kuchezea Simba,wakiwa Benchi manataka waingizwe wacheze,sasa tuwaelewaje?Hawa jamaa hawana mpango wa kumiliki mpira hivyo atoke Nyoni aingie Morrison Kisha Muzamiru arudi chini kucheza SITA Kisha Bwalya atoke aingie Mugalu tuwe na watu wawili kwenye Box itasaidia.