Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Dalika 2 za nyongeza kumalizika kipindi cha kwanza
 
Sioni ushindi kwa simba hii mechi.prison wamekaa nyuma sijui kwa maelekezo ya nani.kila timu ikicheza na simba inakaa nyuma.na simba hawana mipango kabisa ya kuvunja ngome ya timu za bongo.
 
Kagere naye sijui ana nini leo
 
Sioni ushindi kwa simba hii mechi.prison wamekaa nyuma sijui kwa maelekezo ya nani.kila timu ikicheza na simba inakaa nyuma.na simba hawana mipango kabisa ya kuvunja ngome ya timu za bongo.
Acha kuwapangia prison namna yakucheza, Hata sisi Simba tulipocheza na Yanga mbona tulikaa nyuma ya mpira mda mwingi
 
Sioni ushindi kwa simba hii mechi.prison wamekaa nyuma sijui kwa maelekezo ya nani.kila timu ikicheza na simba inakaa nyuma.na simba hawana mipango kabisa ya kuvunja ngome ya timu za bongo.
Hiyo tekiniki ndo inawatesa sana simba msimu maana. Wapinzani wanategemea sana kaunta... Hawa prison by the way wanamsumbuaga sana simba msimu uliopita simba alipata point moja tu alipigwa na kudroo.. Hata Leo simba asipobadili mbinu hali itakua tete zaidi
 
Hawa jamaa hawana mpango wa kumiliki mpira hivyo atoke Nyoni aingie Morrison Kisha Muzamiru arudi chini kucheza SITA Kisha Bwalya atoke aingie Mugalu tuwe na watu wawili kwenye Box itasaidia.
Mbona wapenzi na mashabiki wa Simba mnatuchanganya msimu huu? Wakina Mugalu,Mzamiru wakianza kucheza mnamtukana kocha mkisema hao hawana hadhi ya kuchezea Simba,wakiwa Benchi manataka waingizwe wacheze,sasa tuwaelewaje?
 
Malengo ya prisons yametiaz ila kwa simba hawajajua hata lengo lao ni nini
 
Back
Top Bottom